Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipodozi hatari vyaligharimu taifa

MKURUGENZI wa Uendeshaji Huduma kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Dk. Sikubwambo Ngendabanka, amesema matumizi ya vipodozi vyenye kemikali ni janga la kitaifa linaloisababishia serikali hasara ya mabilioni fedha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yakamata tani 34 za vipodozi hatari

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imesema katika kaguzi za mwaka 2012 hadi 2013  wamekamata jumla ya tani 34 za vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya sh milioni 188. Ofisa Habari...

 

10 years ago

Habarileo

Vipodozi 274 vina viambata hatari

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Juma NkamiaJUMLA ya vipodozi 274 ambavyo viliombewa usajili, havisajiliwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa kuwa na viambata vilivyopigwa marufuku, imefahamika.

 

10 years ago

GPL

NYUFA ZA TAIFA ZINAZIDI KUONGEZEKA; NI HATARI!

Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere Eric Shigongo
Mungu ni mwema sana hivyo wote tuseme; ahimidiwe daima.
Mara kwa mara nimekuwa nikiwaambia wananchi kupitia safu hii kwamba kinachoonekana sasa katika nchi zenye machafuko hazikuanza siku moja. Zilianza hatua kwa hatua na baadaye nje ya nchi hizo walimwengu wakasema nchi fulani ina machafuko. Nchi yetu tayari tumetimiza miaka zaidi ya 50 tangu kupata uhuru. Na tujiulize; je bado...

 

11 years ago

GPL

MAKONDA; MAKUNDI KATIKA VYAMA NI HATARI KWA TAIFA

MKUU wa Idara ya Hamasa na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapindunzi (UVCCM), Paul Makonda alitembelea chumba cha habari cha Global Publishers Janurai 24 mwaka huu na kuzungumza na wanahabari. Paul Makonda. Ni mengi aliyoyasema mbele ya wanahabari. Leo tunakuletea yale yaliyojiri siku hiyo.
Mara baada ya kukaribishwa na Mhariri wa Habari, Makala na Uratibu wa Global Publishers, Luqman Maloto katika jukwaa ambalo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwekezaji: Ni hatari mikataba ya taifa kuwa siri ya viongozi

Tangu gesi asili ilipogunduliwa maeneo mbalimbali ya nchi ikiwamo Mtwara miaka ya hivi karibuni maswali mengi yameibuka juu ya namna rasilimali hizo zitakavyowanufaisha wananchi hususan kuwatoa katika lindi la umaskini.

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

10 years ago

Mwananchi

Vipodozi feki vyaharibiwa

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imelifunga ghala la vipodozi visivyo na ubora na kuteketeza shehena yenye thamani ya Sh7 milioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Wengi hutumia vipodozi sumu

Taasisi ya Evirocare ya jijini hapa imesema kuwa asilimia 52 ya Watanzania hutumia vipodozi vyenye sumu wengi wao wakiwa wanawake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani