Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VISION kwanza..”-Chopa Mchopanga

chopa

VISION kwanza..”-Chopa Mchopanga

“Mwanamke anaweza kumuacha mwanaume mwenye VISION. Nakumfuata mwenye TELEVISION. Ila ipo siku atamuona yule mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mchopanga Kutangaza Nia Rasmi

JUMA Chikoka ‘Chopa Mchopanga’ mwigizaji na mtayarishaji wa filamu ametangaza rasmi nia yake ya kuingia katika siasa huku akitarajia kutangaza jimbo ambalo atagombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi kwani ndio chama chake ambacho kimempatia ridhaa kugombea.

“Nitaendelea kuigiza hata nikiwa Mbunge kwani lengo langu hasa ni kuwa mwanasiasa asiyeachana na Sanaa ni suala la kupanga muda tu, nitakuwa Bungeni nikipumzika lokesheni kama kawaida narekodi filamu za kuelimisha,”anasema...

 

10 years ago

Bongo Movies

MTANI JEMBE:Mchopanga Nursa Kumeza Madawa,JB Asumbuka Kumtuliza

Baada ya Simba kumshushia kipigo kikali Yanga  cha mabao mawili kwa sifuri, nakuibuka mtani jembe. Muigizaji na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga, Mchopanga  inasemekana alitaka kumeza madawa baada ya kuchapa kilaji.

Ripoti kutoka kwa JB, ambae ni shabiki kindakindaki wa timu ya Simba.

“Tahadhari: unaweza ukadharau lakini nikweli.tulitumia zaidi ya masaa2 kumtuliza chopa asimeze madawa.kwanza alianza kulewa uwanjani mara tu baada ya goli la pili.alikuwa analia muda wote.kisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chopa balaa Kalenga

IKIWA imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kufanyika, mvutano mkali kati ya Jeshi la Polisi mkoani Iringa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu ...

 

9 years ago

Mwananchi

Siri ya chopa ya Filikunjombe

Chopa iliyopata ajali katika pori la akiba la mbuga za Selous na kuua watu wanne akiwamo aliyekuwa mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe ni ya Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka.

 

11 years ago

GPL

CHOPA APONGEZWA KUMSITIRI KUAMBIANA

Stori:Hamida Hassan
STAA wa filamu wa Bongo Movies, Juma Chikoka ‘Chopa Mchopanga’ amepongezwa na wasanii wenzake kufuatia kitendo cha kumstiri kwa mavazi marehemu Adam Kuambiana aliyefariki dunia Mei 17, mwaka huu na kuzikwa Jumanne iliyopita jijini Dar es Salaam. Staa wa filamu wa Bongo Movies, Juma Chikoka ‘Chopa Mchopanga’ akiwa na wasanii wenzie katika mazishi ya Kuambiana. Imeelezwa kuwa, siku...

 

10 years ago

Vijimambo

Chopa ya Mwigulu yazua maneno

Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwa hakijaruhusu kampeni, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ambaye amesema ameombwa na wazee na wasomi kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, sasa atazunguka nchi nzima kwa kutumia helikopta kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wananchi.

Hatua hiyo ya Mwigulu, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, ilitangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma jana.

Msukuma alisema ameamua kumpa Mwigulu helikopta...

 

11 years ago

Mwananchi

Chopa yazua mtafaruku uchaguzi Kalenga

>Polisi katika Mkoa wa Iringa, imepiga marufuku matumuzi ya helkopta siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga, kwa madai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kupiga kampeni.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkapa, chopa nne kumnadi Magufuli

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeongeza nguvu katika kampeni zake za lala salama kwa kumwongeza Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na helkopta nne ili kumwongezea kura mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli.

 

11 years ago

Mwananchi

Bilionea wa Marekani aipa Chopa Tanzania

Familia ya bilionea namba mbili nchini Marekani, Warren Buffett imetimiza ahadi ya kutoa msaada wa helikopta moja kwa ajili ya kupambana na ujangili nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani