Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita dhidi ya IS vyachacha mjini Kobane

Wapiganaji wa Kikurdi wanakabiliana vikali na wanamgambo wa Islamic State katika mji wa mpakani mwa Syria Kobane.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kobane yatakiwa kulindwa dhidi IS

Mjumbe wa umoja wa mataifa nchini Syria Staffan de Mistura amesema kuwa dunia inapaswa kuilinda Kabone dhidi ya IS.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 700 wakwama mjini Kobane, Syria

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Syria ameonya kuwa hadi watu 700 wengi wao wakiwa watu wazima wamekwama mjini Kobane.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana

Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya Tumbaku

Tumbaku huchangia asilimia kumi ya pato la kitaifa la Zimbabawe.Nchini Malawi huwa ni asilimia 15.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya Al Shabaab

Majeshi ya Umoja wa Afrika ya Kulinda amani nchini Somalia yameshambuiwa na bomu la kutegwa kando ya barabara katika mji wa Kismayo.

 

10 years ago

Habarileo

Vita dhidi ya ugaidi kuimarishwa

Rais Jakaya KikweteLICHA ya jeshi la polisi kuwakamata watuhumiwa 84 wa matukio ya kigaidi nchini na 17 kati yao kufunguliwa mashitaka, Rais Jakaya Kikwete amelitaka jeshi hilo kuendelea kujipanga kukabiliana na aina yoyote ya tishio la kigaidi, huku akisema Serikali itaendelea kuliwezesha katika kukabiliana nao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya janga la Ukimwi

Hii leo watu wachache zaidi wanafariki kutokana na ukimwi, ingawaje vikundi kadhaa vya watu vimeachwa nyuma.Hizi ndizo takwimu

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya magenge DRC

Katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kinshasa, polisi wamekuwa wakipambana na magenge ya majambazi mitaani

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya homa ya Ebola

Viongozi wa Afrika wanakutana nchini Ghana kujadili mamna ya kukabiliana na ugonjwa huu ambao umezua taharuki Afrika Magharibi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani