Vitabu vya maombolezo vyatawanywa nchi nzima
Serikali imesambaza vitabu vya maombolezo sehemu mbalimbali za nchi ili kutoa nafasi kwa wananchi wengi kutia saini na kuandika ujumbe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
NIT kujenga vituo vya ukaguzi nchi nzima
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene akiwa kwenye mtambo maalum ‘Driving Simulator’ wa kufundishia madereva wa chuo cha Usafirishaji NIT (aliyekaa ), kushoto kwake anayetoa maelezo ni Mtahini wa madereva wa NIT, William Venge, anayefuatia, ni Mwenyekiti wa chuo hicho, Mhandisi, Priscila Chipweli, hiyo ilikuwa wakati Naibu huyo alipotembelea katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa chuo hicho. (Picha na Mpiga Picha wetu).
Na Mwandishi wetu
SERIKALI ipo mbioni kuanzisha...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
TFF yaahidi kujenga vituo vya soka 169 nchi nzima
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
9 years ago
Habarileo23 Dec
Bomoabomoa nchi nzima
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.
11 years ago
Habarileo23 Jun
Bodaboda zabanwa nchi nzima
POLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa.
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Walimu kuandamana nchi nzima
BARAZA la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT), limetoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmshauri nchini kuwapa barua za kuwapandisha vyeo walimu wanaostahili la sivyo watafanya maandamano nchi nzima....
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa kusambaa nchi nzima
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSXiSXgTwcuz2ToHDxDhbZMmld4XfjIQ2-MZv9WGzJ0ixkvBYwX*qyIWEvQhNPGtSdpgl2jIGTEfMoZYLXbIps55/escore270.gif)
ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA