Viziwi waenda Ikulu kudai uwakilishi
WANACHAMA wa taasisi mbalimbali za viziwi jana waliandamana hadi Ikulu ili kupata majibu ya barua waliyompelekea Rais Jakaya Kikwete ya kutaka amteue mjumbe kiziwi atakayeshiriki kwenye Bunge Maalumu la Katiba...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Viziwi-Wasioona wanahitaji msaada
BAADHI ya makundi ya watu wenye ulemavu yamekuwa yakikosa haki zao kutokana na maumbile waliyonayo. Makundi hayo ni ya watu wenye ulemavu ambayo hujikuta yakipambana na changamoto mbalimbali katika mazingira...
11 years ago
Habarileo12 Mar
RC ahimiza wazazi kutoficha viziwi
MKUU wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amewataka wazazi wenye watoto walio na ulemavu wa kusikia (Viziwi) kutowaficha ndani badala yake watoe taarifa kwa viongozi wa serikali za vijiji na mitaa ili wasaidiwe kupatiwa huduma muhimu ya elimu.
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
TPB kuanzisha huduma kwa viziwi
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) inatarajia kuanzisha huduma maalumu kwa wateja wake wenye ulemavu, wakiwamo viziwi, ili wawe sehemu ya wanufaika wa huduma mbalimbali zilizoazishwa na benki hiyo. Ahadi hiyo...
9 years ago
GPLCHAVITA KUADHIMISHA WIKI YA VIZIWI DUNIANI
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
UMIVITA mkombozi wa uchumi kwa viziwi
LICHA ya ulemavu wao, hawakuona sababu ya kukaa bila shughuli zitakazowaingizia fedha za kujikimu kimaisha, hivyo walitumia mikono na ubunifu wao kutengeneza pochi za rangi na ukubwa tofauti kwa kutumia...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Viziwi walia kubaguliwa Bunge Maalumu la Katiba
CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), kesho kitafanya maandamano kwa ajili ya kupinga uteuzi wa Bunge maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kushindwa kuteua mwakilishi kutoka katika...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
TBS yawapa mbinu viziwi kuzalisha bidhaa bora
BIASHARA ni mzunguko na ili ufanikiwe lazima uwe na elimu ya kutosha juu ya biashara yako. Elimu ndiyo nguzo pekee itakayowafanya wafanyabiashara wadogo nchini kujulikana kwa kutengeneza na kuuza bidhaa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ITv1PMd3B2o/Ux3zQ6jLXqI/AAAAAAAFSxc/pnrdlysCP_g/s72-c/unnamed+(47).jpg)
WAZAZI MKOANI RUVUMA WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO VIZIWI.
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Shule ya Viziwi Buguruni yapatiwa vifaa vya Tehama
WIZARA ya Sayansi na Teknolojia imeutaka uongozi wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni kuhakikisha vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walivyokabidhiwa kwa ajili ya wanafunzi vinatumika kama vilivyokusudiwa....