Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vullu: Epusheni siasa mijadala ya Katiba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Zainabu Vullu, amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuacha kuingiza siasa wakati wa kujadili rasimu ya katiba mpya na badala yake wajikite kujadili masuala yaliyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge waache siasa mijadala yenye masilahi kwa umma

Januari 29, mwaka huu, Bunge la Jamhuri ya Muungano lilijadili hoja ya dharura iliyowasilishwa na Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia, kuhusu tukio la askari polisi kumpiga Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ataka mijadala ya Katiba ‘izingatie hoja, si watu’ [VIDEO]

Wajumbe wa Bunge Maalum wameaswa wajadili hoja zilizomo kwenye rasimu iliyowasilishwa Bungeni hapa, badala ya kujadili watu.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA CCM YAHIMIZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUHUDHURIA VIKAO NA KUSHIRIKI KATIKA MIJADALA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema,Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.

Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu...

 

5 years ago

Michuzi

VULLU AKABIDHI VIFAA TIBA KIKONGO

MWAMVUA MWINYI, PWANIMBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Pwani Zaynab Vullu, amekabidhi vifaa tiba katika zahanati za Kikongo na Disunyara, Kibaha Vijijini lengo ni kuwapunguzia changamoto wagonjwa wanaopatiwa tiba kwenye zahanati hizo. Akizungumza kwenye zahanati ya Kikongo kabla ya kukabidhi vifaa hivyo ikiwemo mashuka, vipomo vya presha, sukari, apron za kuvaa kifuani na mipira ya kitanda ya kuzuia shuka zisichafuke, Vulu amesema kuwa kwa uchache wake ameamua kufika hapo kukabidhi vifaa tiba...

 

11 years ago

Michuzi

Zainab Matitu Vullu aipiga jeki hospitali ya wilaya ya Kisarawe

  Mbunge wa  viti maalum  Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabu Matitu  Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa  Wilaya  ya  Kisarawe mkoani Pwani,Dk Happiness Ndossi baada ya kukabidhi > mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka,  pamoja na mipira ya Baiskeli  kwa ajili ya Hospitali hiyo  vyote vikiwa na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki  tano Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi  akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti  maalum Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabui Matiti Vullu kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA WANAWAKE NA KATIBA KWA VIONGOZI WA SIASA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.(Picha kutoka Maktaba)

 

10 years ago

Habarileo

RC Dodoma alia na siasa za majitaka dhidi ya katiba

Chiku GallawaMKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amepiga marufuku siasa chafu zinazoendeshwa mkoani hapa ambapo wananchi wamekuwa wakihamasishwa kutoipigia kura Katiba inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani