Vumbi la ligi ndogo ya mikoa
Michuano midogo ya mashindano ya mikoa imepangwa kuanza kutimua vumbi Februari 22 kwa timu ya Ilala kumenyana na Temeke kwenye Uwanja wa Karume, wakati Pwani itamenyana na Morogoro kwenye Uwanja wa Mabatini Mlandizi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
11 years ago
GPLVUMBI LIGI KUU KUTIMKA WIKIENDI
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Ligi kuu England kuanza kutimua vumbi
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Ligi ya mabingwa Ulaya kutimua vumbi leo
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Ligi ya soka Somalia kutimua vumbi leo
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Vumbi kila kona ligi kii 2015/2016
9 years ago
Bongo530 Dec
New Video: Billnass ft. TID – Ligi Ndogo

Msanii anayefanya kazi chini ya Radar Entertainment, Billnass ameachia video mpya ya wimbo wake uliotoka miezi kadhaa iliyopita – Ligi Ndogo, ambao pia amemshirikisha TID. Hii ni video yake ya tatu na imeongozwa na director aliyefanya vizuri mwaka huu 2015, Hanscana.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
5 years ago
CCM Blog
LIGI YA SOKA YA WANAWAKE NCHINI UINGEREZA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 29

Ligi ya wanaume ilirejea wiki iliyopita, pia bila ya mashabiki uwanjani na chini ya vizuizi vikali vya kiafya vilivyotengenezwa kwa lengo la kupunguza kusambaa kwa maambukizi.
Rais wa DFB Fritz Keller ameeleza kufurahishwa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Makundi Ligi ya Mabingwa Mikoa hadharani
LIGI ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2013/14, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 10 hadi Juni 2, ambapo mabingwa 27 wa mikoa hiyo wamegawanywa makundi matatu ya timu tisa kila moja...