New Video: Billnass ft. TID – Ligi Ndogo
Msanii anayefanya kazi chini ya Radar Entertainment, Billnass ameachia video mpya ya wimbo wake uliotoka miezi kadhaa iliyopita – Ligi Ndogo, ambao pia amemshirikisha TID. Hii ni video yake ya tatu na imeongozwa na director aliyefanya vizuri mwaka huu 2015, Hanscana.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo30 Dec
‘Ligi Ndogo’ hii hapa kwenye video iliyochanganywa TZ na South Africa >> Bil Nas Feat. TID (Video)
‘Ligi Ndogo’ nayo ni moja ya ngoma kali za kuheshimika kwa mwaka 2015, hiyo ni kazi ya kijana mwenye ukali wake kwenye rap music, Billnass Feat. TID. Kwa sababu redioni imekamata na imekubalika, unaweza kuona na video yake ilivyo sasahivi… Billnass aliikabidhi kazi kwa director Mbongo, Hanscana na kazi ndio hii imekuja tayari. Unataka kutumiwa […]
The post ‘Ligi Ndogo’ hii hapa kwenye video iliyochanganywa TZ na South Africa >> Bil Nas Feat. TID (Video) appeared first on...
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Vumbi la ligi ndogo ya mikoa
11 years ago
Bongo514 Sep
Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo. Ninazo video 10 zilizokuwa zikitambata enzi hizo.. TID – zeze Marlaw –Bembeleza Ray C – Uko wapi […]
The post Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Michuzi05 May
11 years ago
Michuzi
TANZANIA YAPIGA HATUA KATIKA UDHIBITI WA SILAHA NDOGO NDOGO NA NYEPESI

Imeelezwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na tatizo la uzagaaji wa silaha ndogo ndogo na nyepesi kutokana na nchi nyingine za Afrika kuja kujifunza jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Meshack Ndaskoi wakati akifungua semina ya jinsia na uthibiti wa silaha ndogondogo na nyepesi iliyofanyika katika chuo cha Taaluma...
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
Exclusive: Wafanyabiashara ndogo ndogo Posta mpya watwangana makonde ‘live’
Baadhi ya wafanyabiashara hao wadogowadogo wakiwa katika ugomvi huo ambao ulidumu zaidi ya dakika 10, huku kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa kile kilichosemekana kugombea eneo la kupanga bidhaa zao hizo. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Ilala-Dar es Salaam) Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu Machinga asubuhi ya leo wameweza kusimamisha baadhi ya shughuli eneo la kituo cha mabasi cha Posta mpya baada ya kutokea ugomvi baina ya wao kwa wao...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
ESAURP yaandaa mafunzo kwa wafanyabiashara ndogo ndogo mkoani Mbeya
Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika (ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.(Picha Emanuel Madafa Mbeya wa JAMIIMOJABLOG).
Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika...
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’

Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’
Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.
Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.
“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.
Amedai...