Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vurugu zakithiri nchini DRC

Serikali ya jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekanusha kuwauwa waandamanaji waliokuwa wakigoma kupinga mapendekezo ya kubadilisha sheria za uchaguzi mkuu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Vurugu kumpinga Rais Kabila DRC

Polisi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, wamefyatua risasi hewani ili kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamekusanyika katika mji mkuu Kinshasa kupinga sheria mpya ya uchaguzi.

 

10 years ago

StarTV

Vurugu za kumpinga Rais Kabila zaendelea DRC.

Polisi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, wamefyatua risasi hewani ili kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamekusanyika katika mji mkuu Kinshasa kupinga sheria mpya ya uchaguzi.

Serikali inasema kuwa watu wanne walifariki katika vurugu za Jumatatu ingawa upinzani unasema idadi huo huenda ikwa kujuu kuliko iliyonakiliwa.

Wanafunzi wameweka vizuizi barabarani na pia wameshuhjudiwa wakichoma magurudumu, katika barabara zinazoelekea katika chuo kikuu mjini humo.

Wanatuhumu wanasia...

 

11 years ago

GPL

VURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC

Mojawapo ya vurugu zilizowahi kutokea uwanjani. Watu 15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na Tout Puissant Mazembe.

 

5 years ago

Michuzi

KUFUATIA VURUGU ZINAZOENDELEA NCHINI MSUMBIJI, HALI YA USALAMA YAIMARISHWA HAPA NCHINI,

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini vimejipanga vyema kuhakikisha vinadhibiti vitendo vya uhalifu hasa kutokana na vitendo vya vurugu vinavyoendelea katika nchi jirani ya Msumbiji.  Aidha, IGP Sirro, amewataka Watanzaania hususan vijana kuacha kutumiwa na watu wachache  wanaowataka wajiingize kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani nchini ikiwemo kufanya uhalifu.IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya wakazi wa eneo...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni za Canada zakithiri kwa rushwa

NCHI ya Canada imetajwa kuwa moja ya nchi yenye idadi kubwa ya kampuni zilizowekewa vikwazo na Benki ya Dunia, kutokana na kujihusisha na vitendo vya rushwa.

 

11 years ago

Habarileo

Ndoa za utotoni zakithiri Kanda ya Ziwa

MIKOA ya Kanda ya Ziwa na Magharibi ina huduma zisizoridhisha za uzazi wa mpango, kutokana na kuwa na viashiria vingi vya ndoa za utotoni.

 

11 years ago

BBCSwahili

21 wafariki nchini DRC Congo

Takriban watu 21 wamefariki baada ya kukanyagana katika sherehe za muziki nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vurugu zaanza upya nchini CAR

Taarifa za hivi punde kutoka katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, zimeripoti kusikika kwa milio ya risasi katika mji mkuu Bangui.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lajipanga kukabili vurugu

Jeshi la polisi nchini limejipanga kuchukua hatua kwa kikundi ama chama chochote cha siasa kinachotarajia kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya ubunge, udiwani na urais Oktoba 25 mwaka huu kutokana na kuwepo kwa kauli za baadhi ya watu kuanza kuwahamasisha vijana kutokukubaliana na matokeo kabla muda wa kupiga kura haujafika.

Akizungumza na wadau wa amani mjini Musoma mkoani Mara, mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa jeshi la polisi Ernest Mangu ametoa tahadhari hiyo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani