Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waangalizi wataka matokeo kutolewa haraka TZ

Martina Kabisama naibu mwenyekiti wa muungano wa waangalizi wa uchaguzi Tanzania CEMOTCEMOT anaitaka tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC kutoa matokeo kwa haraka ili kuondoa wasiwasi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya upangaji matokeo kutolewa na FIFA

Matokeo ya uchunguzi wa tuhuma za upangaji matokeo zinazowakabili waamuzi watatu wa Tanzania yatatolewa na shirikisho la dunia, FIFA .

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo Zambia kutolewa wakati wowote

Matokeo ya kura za urais nchini Zambia sasa yameanza kukamilika katika ukumbi wa kimataifa wa Mulungushi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka kashfa ya Escrow imalizwe haraka

MUUNGANO wa vyama vitano vya siasa umelitaka Bunge na serikali kutoa ufumbuzi wa haraka kuhusiana na kashfa ya uchotwaji fedha katika Akaunti Maalum ya Escrow zaidi ya sh bilioni 200...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinzani wataka maazimio ya OTU yatekelezwe haraka

Kambi rasmi ya upinzani bungeni, imetaka maazimio yote ya Bunge kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili (OTU) yatekelezwe bila visingizio.

 

9 years ago

Mwananchi

Matokeo ya awali urais, ubunge yaanza kutolewa nchini

Wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema wanachuana vikali kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye vituo mbalimbali nchini baada ya wananchi kupiga kura jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wataka sheria kuitambua Dodoma ijadiliwe bungeni haraka

Wabunge wa Mkoa wa Dodoma wameanza mkakati wa pamoja kuhakikisha sheria ya kuitambua Dodoma kuwa ni makao makuu ya Serikali inawasilishwa katika Bunge.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutoa matokeo haraka

Umoja wa waangalizi wa ndani wa uchaguzi (Cemot) umewataka wasimamizi wa uchaguzi kutoa matokeo haraka katika maeneo ambayo zoezi la kuhesabu kura limeshakamilika ili kuondoa hali ya mashaka na sintofahamu miongoni mwa wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa EU watoa wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) kwa Tanzania unatoa tena wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika. 
Kufuatia Siku ya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya umebaki nchini kufuatilia chaguzi zilizoahirishwa Tanzania Bara na mchakato uliyositishwa Visiwani Zanzibar, baada ya tamko la Mwenyekiti wa Tume ya...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wataka wanasiasa kukubali matokeo

Shehe wa Mkoa Kigoma na Ulamaa wa Taifa, Hassan KiburwaWAKATI Waislamu mkoani Kigoma wakiungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, viongozi wa dini na mashehe wamewataka wanasiasa waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kukubali matokeo ili kudumisha amani ya nchi yetu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani