Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waathirika mabomu ya Mbagala waishinda Serikali mahakamani

>Waathirika wa mabomu yaliyolipuka Mbagala na kusababisha vifo na uharibifu mkubwa wa mali za wananchi, wameibwaga Serikali mahakamani baada ya kushinda pingamizi la Serikali dhidi ya kesi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu

Wakazi wa Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam walioathirika na milipuko ya mabomu mwaka 2009 kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Mbagala, wakiwa na bango linalomfahamisha Rais juu ya fidia ndogo waliyolipwa baada ya nyumba zao kuharibiwa na milipuko hiyo. (Picha na Yusuf Badi).ZAIDI ya waathirika 1,000 milipuko ya mabomu Mbagala, wameomba Serikali kuingilia kati na kuwasaidia, ili wapate fidia inayostahili kutokana na mali na vitu vyao vilivyoharibiwa wakati wa mlipuko huo Aprili 2009.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waathiriwa wa mabomu Mbagala walalama

Mkutano wa waandishi habari na Waathirika wa Mabomu ,umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu ,jijini Dar-Es-Salaam .

 

10 years ago

BBCSwahili

Barcelona waishinda Juventus 3-1

Barcelona walitawazwa mabingwa wa Ulaya kwa mara ya tano baada ya kuichapa Juventus mabao matatu kwa moja katika mechi kali ya fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki wa Berlin.

 

11 years ago

GPL

WATATU WAKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI MBAGALA, DAR

Ngozi ya chui na nyara nyingine zilizokamatwa.
Meno ya tembo yaliyopatikana kwa watuhumiwa.
Kamishna  Kova akionyesha baadhi ya nyara walizozikamata. WANAWAKE…

 

10 years ago

StarTV

Serikali lawamani kuchelewesha ugawaji viwanja kwa waathirika wa mafuriko.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

Zaidi ya waathirika 200 wa mafuriko yaliyotokea Januari mwaka jana wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kupima na kuwagawia viwanja kwa wakati hali ambayo imewafanya washindwe kujenga makazi ya kudumu na kuondokana na adha ya kukaa kwenye mahema ambayo sasa yamechakaa.

 

Malalamiko hayo yanakuja kutokana na mvua kuanza kunyesha wakati mahema yakiwa yamechanika na mvua kuwanyeshea hali ambayo inawafanya waishi katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itegue kitendawili cha mabomu Arusha

Tunasikitishwa na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya mabomu katika Jiji la Arusha, ambapo katika kipindi kifupi tu kisichozidi miezi 18 yametokea matukio saba ambayo yamesababisha vifo.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA

Na Englibert Kayombo WAMJW – Dodoma.

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.

Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA

Na Englibert Kayombo WAMJW – Dodoma.
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...

 

9 years ago

Raia Mwema

Serikali kuburuzwa mahakamani

ILIKWISHASEMWA na kufafanuliwa kwa kina; kwamba mkataba wa kitapeli wa miaka 20 kati ya kampuni y

Joseph Mihangwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani