Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu
ZAIDI ya waathirika 1,000 milipuko ya mabomu Mbagala, wameomba Serikali kuingilia kati na kuwasaidia, ili wapate fidia inayostahili kutokana na mali na vitu vyao vilivyoharibiwa wakati wa mlipuko huo Aprili 2009.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Waathirika mabomu ya Mbagala waishinda Serikali mahakamani
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Waathirika wa milipuko ya Osama Dar wafurahia fidia
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
Waathiriwa wa mabomu Mbagala walalama
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Wanajeshi mabomu ya Gongo la mboto wakumbusha fidia
WANAJESHI 82 wa Kambi ya 511 ya Kikosi cha Jeshi waliopoteza mali zao binafsi katika tukio la mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto, Dar es Salaam, wameiomba Wizara ya Ulinzi...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Jaji Mkuu alia bajeti finyu
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwataka majaji na mahakimu kumaliza kesi kwa wakati, Jaji Mkuu, Chande Othman, amelalamikia bajeti ya Mahakama kucheleweshwa. Jaji Mkuu alitoa kilio hicho juzi mbele ya Kamati...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Bajeti finyu yakwamisha ujenzi barabara
SERIKALI haina mpango wa kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kivukoni Kinesi hadi Makutano Kinesi kupitia Kuruya katika barabara kuu ya Mwanza hadi Sirari kutokana na ufinyu wa...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Bajeti finyu yakwamisha ufunguaji mabaraza
SERIKALI imesema ukosefu wa bajeti ya kutosha umesababisha kushindwa kutekeleza mpango wa kufungua mabaraza ya ardhi kila kata au wilaya. Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba...
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
TZ: Wengi wana uelewa finyu kuhusu HIV
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kusimamia Haki ya Fidia kwa wafanyakazi
![](http://1.bp.blogspot.com/-oIQT1unmzzo/VdBzkYWQpFI/AAAAAAAAXv8/Qe-eB9mYhWo/s640/B3.jpg)
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Masha Mshomba, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo barabara ya Bagamoyyo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2015. Mfuko huo ulioanzishwa kwa sheria ya bunge namba 20 kifungu cha 5 ya mwaka 2008, una madhumuni ya kutoa fidia kwa Wafanyakazi kutokana na ulemavu au vifo viinavyosababishwa na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi sambamba na kukuza mbinu za kuzuia matukio ya ajali, alisema. (Picha na...