Wabunge waibana serikali
Wataka bajeti mpya iwe ya utekelezaji si ahadi
Misamaha ya kodi kwa vigogo yazidi kupingwa
January: Misamaha iwe asilimia moja ya bajeti
NA SELINA WILSON, DODOMA
WABUNGE wameendelea kuikalia kooni serikali juu ya misamaha ya kodi kwa wawekezaji wakitaka ipunguzwe na wengine wakitaka ibuni vyanzo vipya vya ukusanyaji mapato badala ya kutegemea wahisani.
Bajeti Kuu ya Serikali inatarajiwa kusomwa bungeni kesho, ambapo kwa wiki nzima, wabunge wamekuwa wakiibana serikali kuitaka kueleza namna...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Jun
Wabunge waibana Serikali
WABUNGE wameendelea kuitaka Serikali kubuni vyanzo vipya vya mapato, huku baadhi yao wakionesha wasiwasi kama Serikali itafanikiwa kukusanya Sh trilioni 19, kutokana na kukosa mbinu za upanuzi wa wigo wa kodi.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0xyY5QDXxz4/U8wuDxjiVAI/AAAAAAAF4Jc/_Ks21eodOUw/s72-c/unnamed+(4).jpg)
Serikali, Wabunge waibana Kabanga Nickel
![](http://1.bp.blogspot.com/-0xyY5QDXxz4/U8wuDxjiVAI/AAAAAAAF4Jc/_Ks21eodOUw/s1600/unnamed+(4).jpg)
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Wawekezaji wazawa waibana Serikali
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Waangalizi waibana ZEC
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Wanafunzi waibana polisi
MTANDAO wa Wanafunzi nchini (TSNP), umelitaka Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kutoa taarifa rasmi kuhusu kutekwa nyara kwa Rais wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba cha Bugando (CUHAS), Mussa...
10 years ago
Habarileo22 May
Wawakilishi waibana Tume ya Uchaguzi
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa kufuata misingi ya Sheria na Katiba ili kuepuka vurugu.
11 years ago
Habarileo12 Dec
CCM waibana Halmashauri ya Jiji Arusha
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha miradi yote iliyokuwa imeanza kujengwa inakamilika kwa wakati bila ya kuwa na visingizio.
11 years ago
Habarileo20 Jan
Wanaopambanisha wabunge na Serikali wakemewa
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli amekemea tabia za baadhi ya watu na vyombo vya habari, kuwagonganisha viongozi wa serikali na wabunge kwa lengo la kuleta mgogoro.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Wabunge, Serikali wavutana gesi
WABUNGE wameishauri Serikali isifanye haraka kwa kuwasilisha bungeni miswada ya sheria kuhusiana na masuala ya mafuta na gesi kwa sababu mawazo yao hivi sasa yapo katika Uchaguzi Mkuu na wana mgogoro wa utulivu wa mawazo na fikra.