Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge waibana Serikali

WABUNGE wameendelea kuitaka Serikali kubuni vyanzo vipya vya mapato, huku baadhi yao wakionesha wasiwasi kama Serikali itafanikiwa kukusanya Sh trilioni 19, kutokana na kukosa mbinu za upanuzi wa wigo wa kodi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wabunge waibana serikali

Wataka bajeti mpya iwe ya utekelezaji si ahadi Misamaha ya kodi kwa vigogo yazidi kupingwa January: Misamaha iwe asilimia moja ya bajeti
NA SELINA WILSON, DODOMA
WABUNGE wameendelea kuikalia kooni serikali juu ya misamaha ya kodi kwa wawekezaji wakitaka ipunguzwe na wengine wakitaka ibuni vyanzo vipya vya ukusanyaji mapato badala ya kutegemea wahisani.
Bajeti Kuu ya Serikali inatarajiwa kusomwa bungeni kesho, ambapo kwa wiki nzima, wabunge wamekuwa wakiibana serikali kuitaka kueleza namna...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali, Wabunge waibana Kabanga Nickel

Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa kwanza kushoto), ukimsikiliza Bw.Stephen Flewelling (aliyesimama), Mtendaji wa kampuni ya Glancore yenye leseni ya kuchimba Nickel katika eneo la Kabanga wilayani Ngara wakati walipofika katika makao makao makuu ya kampuni hiyo yaliyoko Toronto, Canada. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa (Mb.), (wa pili kushoto), Deogratias...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wazawa waibana Serikali

>Serikali imetakiwa kuweka ukomo wa mambo ya kuwekeza baina ya wawekezaji wa ndani na wa nje kwa lengo la kuwawezesha wazawa kujijenga na kukua zaidi ili kuinua uchumi wa Taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Waangalizi waibana ZEC

Waangalizi wa kimataifa wa Uchaguzi Mkuu nchini wameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kueleza sehemu ambazo zilikuwa zina ukiukwaji wa taratibu na kuonyesha uwazi katika kufikia uamuzi wake wa kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais wa visiwa hivyo na wawakilishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi waibana polisi

MTANDAO wa Wanafunzi nchini (TSNP), umelitaka Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kutoa taarifa rasmi kuhusu kutekwa nyara kwa Rais wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba cha Bugando (CUHAS), Mussa...

 

10 years ago

Habarileo

Wawakilishi waibana Tume ya Uchaguzi

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho.WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa kufuata misingi ya Sheria na Katiba ili kuepuka vurugu.

 

11 years ago

Habarileo

CCM waibana Halmashauri ya Jiji Arusha

KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha miradi yote iliyokuwa imeanza kujengwa inakamilika kwa wakati bila ya kuwa na visingizio.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaopambanisha wabunge na Serikali wakemewa

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli amekemea tabia za baadhi ya watu na vyombo vya habari, kuwagonganisha viongozi wa serikali na wabunge kwa lengo la kuleta mgogoro.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge, Serikali wavutana gesi

WABUNGE wameishauri Serikali isifanye haraka kwa kuwasilisha bungeni miswada ya sheria kuhusiana na masuala ya mafuta na gesi kwa sababu mawazo yao hivi sasa yapo katika Uchaguzi Mkuu na wana mgogoro wa utulivu wa mawazo na fikra.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani