Wachina tisa walazwa, JK aagiza
Wakati raia tisa wa China wakibainika kuugua ugonjwa wa dengue na kulazwa hapa nchini, Rais Jakaya Kikwete amevunja ukimya na kuagiza wizara zake mbili kukabiliana na ugonjwa huo kwa dharura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Wagonjwa walazwa bila mashuka Tumbi
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Saba walazwa kwa dengue Amana
WAGONJWA saba wamelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kugundulika kuwa wana ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine 50 wakipatiwa matibabu na kuruhusiwa kwenda...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Kipindupindu chaua Mbeya, sita walazwa
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Chelsea washinda, Man Utd walazwa nyumbani
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Watu 19 walazwa kwa kula samaki Pemba
11 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
11 years ago
Vijimambo03 Oct
Wanafunzi 39 walazwa kunywa maji yenye petroli
Hata hivyo, wanafunzi watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi wakituhumiwa kuhusika na tukio hilo.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wakati wakipata chai na kunywa maji hayo yaliyohifadhiwa kwenye plastiki maalum linalomilikiwa na shule hiyo.
Mwalimu wa zamu, Ali Elias, alisema tukio hilo limesababisha wanafunzi wa...
10 years ago
StarTV29 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio chapiga hodi singida 11 walazwa.
WAKATI ukiwa bado ukiendelea kutikisa katika Jiji la Dar-es-Salamu na kuua watu wengi, ugonjwa wa Kipindupindu umeingia katika Manispaa ya Singida ambapo watu 11 wamelazwa kwenye kambi iliyotengwa eneo la viwanja vya Mandewa kwa ajili ya kutibu wenye dalili za ugonjwa huo.
Tayari watu watatu miongoni mwa 11 waliozwa kwenye kambi iliyoanzishwa wakiharisha na kutapika, wamefanyiwa vipimo vya kitaalamu na kubainika kuwa na ugonjwa huo hatari wa kipindupindu.
Akizungumza na waandishi wa habari...
11 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...