Wadaiwa kuanza kampeni za ubunge
Baadhi ya wanaCCM wamedaiwa kuanza kampeni za chini kwa chini kuwania ubunge mkoani Dar es Salaam, huku wakielezwa kujipenyeza hata katika baadhi ya makanisa kutafuta uungwaji mkono.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWADAIWA KODI YA PANGO LA ARDHI KUANZA KUSAKWA NCHI NZIMA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza operesheni maalum ya kuwasaka wadaiwa wote sugu ya kodi ya pango la ardhi na kuwafikisha katika vyombo vya sheria ili kufidia madeni wanayodaiwa.
Akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa katika jiji la Dodoma leo tarehe 6 Machi 2020 Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Methew Nhonge alisema opresheni hiyo inaanza leo kwa nchi nzima ambapo wamiliki wote waliopelekewa ilani za madai wanatakiwa kulipa madeni...
11 years ago
Habarileo12 Aug
'Sifanyi kampeni za ubunge'
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Wilaya (CCM) Tabora na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi ya Jumuiya ya Wazazi Mkoa, Emmanuel Mwakasaka amekanusha kufanya kampeni za kuwania ubunge Jimbo la Tabora Mjini.
9 years ago
Habarileo29 Aug
Samia kuanza kampeni Dodoma kesho
MGOMBEA Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, anaanza ziara za mikutano ya kampeni mkoani hapa kesho ambapo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kumsikiliza.
10 years ago
Habarileo21 Nov
Kampeni Serikali za Mitaa kuanza Novemba 30
KAMPENI kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika kote nchini Desemba 14, mwaka huu zitafanyika kwa wiki mbili kuanzia Novemba 30.
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Mwanamke aliyekana dini kuanza kampeni
10 years ago
Habarileo26 May
Kampeni za urais, ubunge Agosti 22
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini (NEC), imekata mzizi wa fitina na kufuta uvumi kwamba, kulikuwa na mpango wa kumwongezea Rais Jakaya Kikwete muda wa kukaa madarakani mara baada ya kumaliza awamu yake ya pili Oktoba mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Kampeni za ubunge zaanza kinyemela
9 years ago
Habarileo25 Aug
Magufuli kuanza kampeni Rukwa akitokea Katavi
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan wanatarajia kuanza kampeni zao mkoani Rukwa wakitokea mkoani Katavi.
10 years ago
Habarileo27 May
CCM yawaita 16 kwa kuanza kampeni kabla
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma kimewaita kwenye Kamati ya Kanuni na Maadili wanachama wake 16 kwa kuvunja miiko ya chama hicho kwa kuanza kampeni kabla ya wakati.