Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU ALBERT NA EVODIA WAMEREMETA MJINI BUKOBA

MDAU ALBERT MUCHURUZA NA BI EVODIA ERASTO  WAKILA POZI BAADA YA KUMEREMETA KATIKA KANISA LA RC NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA NA KUFUATIWA NA MNUSO WA NGUVU  KATIKA
UKUMBI WA LINAS NIGH CLUB MJINI BUKOBA Wapambe wa Bi Harusi wakipozi  wakiwa wamembeba bwana harusi  kuonesha furaha yao Wapambe wa Bw Harusi wakiwa wamembeba bi harusi Kutoka kulia ni Mheshimiwa Mr Muchuruza baba mzazi wa bwana harusi akiwa sambamba na mke wake bi Rose Muchuruza wakichukua picha ya pamoja na maharusi. Picha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!

Mpoki(kulia) akitamba!!Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FAKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

wadau sereki na zainab wameremeta

 Wadau Sereki na Zainab wakila pozi baada ya kumeremeta hivi karibuni  Sereki na Zainab wakifurahia siku yao ya kwanza pamoja  Mmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaa.... Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

wadau zuberi na asha wameremeta


Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014

 

11 years ago

Michuzi

wadau robert rutegama na delly kisesa wameremeta

Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii mjini Dodoma Robert Rutegama na mai waifu wake Delly Kisesa  wamemeremeta hivi majuzi katika kanisa la Lutheran Dodoma na baadaye kufurahia kumeremeta kwao katika mnuso wa nguvu ulioandaliwa katika ukumbi wa African View. Globu ya Jamii inawatakia maisha ya amani, furaha na upendo daima duni wadau hawa - kama wanavyoonekana kwenye taswira hii.

 

10 years ago

Michuzi

WADAU GASTO NA FEDERICA WAMEREMETA JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akiwa ame ‘pose’ kwa picha na Bibi harusi Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha jana na kufatiwa na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Leons Garden Sakina. Gasto Leseiyo na Mke wake Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mama wazazi .

 

11 years ago

Michuzi

Wadau David Kapungu na Vailet Ndimbo wameremeta

Maharusi David Kapungu (kushoto) akiwa na mkewe Vailet Mateso Ndimbo mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mt Kilian mjini Mbinga na kufuatiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa kahawa club mjini Mbinga. Maharusi David Kapungu na Vailet Mateso Ndimbo wakinyweshana champen wakati wa sherehe yao ya kuwapongeza mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mt Kilian Mbinga mjini na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukumbi wa kahawa club mjini humo ,maharusi...

 

11 years ago

Michuzi

wadau KASUKA NA SALOME WAMEREMETA WILAYANI KILWA

Wadau  John Kasuka na Salome Joseph wameremeta  katika kanisa la KKKT Kilwa Masoko mkoani Lindi na baadaye kusherehekea katika mnuso wa nguvu katika ukumbi wa PEC hotel(kwa sultan) Kilwa
Wadau John Kasuka na Bi salome Joseph  wakiwa na nyuso za furaha baada ya kumeremeta

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa  Addoh Mapunda ambae ni mwajiri wa bwana harusi akiwapongeza vijana wake

Maharusi wakielekea beach kupata taswira za kumbukumbu Ni wakati wa kuvalishana pete za...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU ALEX NA FLORA WAMEREMETA HUKO LINDI

Ilikuwa patashika nguo chanika katika sherehe ya Harusi ya Alex Mwalwiba na Flora Japher  iliyofungwa katika kanisa la KKKT Mjini Lindi na baadaye mnuso wa nguvu  katika ukumbi wa Lindi Beach hotel.   Bwana Harusi ni Fundi mkuu wa kampuni ya Uniglobex ya mjini lindi huku Bi Harusi akiwa mwajiriwa wa Jeshi la polisi Mkoani Lindi kitengo cha Usalama barabarani Sote kwa pamoja Tunawaombea Dua katika maisha yao Mapya ya Ndoa  Picha na Abdulaziz Video Rec Ya Mjini Lindi Wadau  Alex Mwalwiba...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU JOSEPHATH TENDEWA NA FIDES ASSENGA WAMEREMETA JIJINI DAR


Maharusi Josephath Tendewa na Fides Assenga wakiwa kwenye nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Joseph na baadae kufanyika kwa tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Urafiki Social hall,Sinza jijini Dar.
Maharusi wakiwa na wapambe wao.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani