Waethiopia 14 wadaiwa kutelekezwa chakani
Jeshi la Polisi limewakamata raia 14 wa Ethiopia kwa tuhuma za kukutwa katika moja ya vichaka vilivyopo eneo la Tamco, mjini hapa huku wakiwa hawana vibali vya kuingia nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Waathirika wa mafuriko wadai kutelekezwa
BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Bulembo ambao walikumbwa na maafa ya nyumba zao kuanguka na nyingine kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua, wamedai kutelekezwa na serikali. Wakizungumza kwa...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Karatasi 480 za kura zadaiwa kutelekezwa
9 years ago
StarTV26 Nov
Maisha bora uzeeni  Wazee wengi nchini walalamikia kutelekezwa
Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kuweka mikakati ya kuwahudumia wazee kwa kuwapatia pensheni, mazingira bora ya makazi na matibabu, wazee wengi nchini wanakabiliwa na matatizo mengi ambayo yanadaiwa kuwakatisha tamaa kutokana na kutelekezwa na kutothamini na jamii licha ya kulitumikia Taifa wakati wa ujana wao.
Kilio kikubwa cha wazee hao ni kutokupata huduma au usaidizi pindi wanapopata matatizo.
Baadhi ya Wazee wengi nchini hasa waishio vijijini bado wanakabiliwa na...
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waethiopia 63 watiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Waethiopia 11 wakamatwa Pwani
JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu 11 wanaodaiwa kuwa raia wa Ethiophia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sharia. Waethiophia hao walikamatwa juzi, saa tisa usiku, katika kijiji...
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Waethiopia 42 wadakwa Dar
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Waethiopia 76 watiwa mbaroni
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
11 years ago
Mwananchi04 May
Waethiopia 55 wanaswa kichakani Himo