Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji wataka suluhisho la kudumu

Baada ya kusitishwa kwa oparesheni ya kuondoa mifugo katika maeneo ya hifadhi ya mapori ya Burigi, Kimisi na Biharamulo mkoani Kagera, jamii ya wafugaji imeiomba Serikali kuendelea kusitisha zoezi hilo hadi pale ufumbuzi wa matumizi ya ardhi katika maeneo hayo utakapopatikana.

Wafugaji katika maeneo hayo wameomba pia Serikali kuwagawia sehemu ya ardhi katika mapori hayo ambayo wao walianza kuyatumia kabla ya kupewa hadhi ya kuwa hifadhi za Taifa mnamo mwaka 2003.

 

Baada ya ng’ombe zaidi ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgomo huu utafutiwe suluhisho la kudumu

Mgomo wa madereva uliodumu kwa siku mbili, jana ulisitishwa baada ya kikao baina ya viongozi wao na viongozi wa Serikali kuhusu namna ya kushughulikia madai yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wataka matumizi bora ya ardhi

ASILIMIA 75 ya watanzania ni wafugaji hivyo serikali imeombwa kuharakisha mpango wa upimaji matumizi bora ya ardhi ili kuepuka migogoro ya wakulima na wafugaji inayorudisha nyuma juhudi za maendeleo. Rai...

 

11 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

11 years ago

Habarileo

CCM: Ridhiwani suluhisho Chalinze

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Mwishee Mlau amesema mwenye uwezo wa kutatua changamoto zilizopo katika Jimbo la Chalinze ni mgombea wa chama hicho, Ridhiwani Kikwete na sio mgombea mwingine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushivimwa suluhisho migogoro ya ardhi

MIGOGORO ya ardhi katika maeneo mengi hapa nchini yamekuwa na madhara kwa wananchi kwa kusababisha maafa. Mbali ya kusababisha maafa, migogoro hiyo imekuwa ikisababisha kudumaza maendeleo kwenye maeneo yanayokabiliwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DART suluhisho la usafiri Dar

HIVI karibuni Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) walisaini mkataba wa kutafuta watoa huduma na Kampuni kutoka Uholanzi ya Rebel Group. Mkataba huo ni hatua...

 

11 years ago

Mwananchi

Ziara ya JK ni suluhisho la matatizo Mbeya?

Mkoa wa Mbeya ni mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuunganishwa kwa vyama vya TANU na ASP Februari 5, 1977.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jafo: Nimekuja na suluhisho la kanuni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Seleman Jafo, ametamba kuwa amekuja na suluhisho kwa kanuni za 37 na 38 zilizoleta msuguano bungeni. Kanuni hizo ambazo ziliwekwa kiporo wakati Bunge likipitisha...

 

10 years ago

Habarileo

Reli Dar, suluhisho la msongamano

Treni ya TRL.WAKATI msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam ukiwa moja ya changamoto zinazozungumzwa zaidi na watangaza nia ya urais, huku wengi wakizungumzia ujenzi wa barabara za pete kuwa suluhisho, Rais Jakaya Kikwete amekuja na wazo jipya na ameanza kulifanyia kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani