Waghushi nyaraka na kujichotea mamilioni NSSF
Na Elias Msuya
MAOFISA wawili wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (Muce) wamefikishwa katika bodi ya chuo hicho wakituhumiwa kuchukua kiinua mgongo chao wakati wakiendelea na kazi.
Taarifa kutoka kwa chanzo chetu ndani ya chuo hicho zinamtaja Yobu Msigwa na Telesphory Nkembo, wanaofanya kazi katika Ofisi ya Rasilimali Watu ya chuo hicho wakidaiwa kughushi sahihi na kutumia mihuri ya chuo kujipatia fedha za mafao ya kiinua mgongo kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Aug
Walimu, wazazi waghushi vyeti vya kuzaliwa
WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule za msingi na wazazi kughushi taarifa na kuongeza bei wakati wa kusajili na kuwapatia wanafunzi vyeti vya kuzaliwa.
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
NSSF CUP Jambo Leo wakimbia uwanja, Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF
![Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0021.jpg)
Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.
![Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0043.jpg)
Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69...
10 years ago
Michuzi22 Mar
NSSF MEDIA CUP: Jambo Leo watia mpira kwapani Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF
![Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0021.jpg)
![Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0043.jpg)
10 years ago
Mtanzania13 Feb
Nyaraka za Kaseja zaungua
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Kazi Tanzania, Kitengo cha Usuluhishi na Uamuzi (CMA), jana imeipiga kalenda kesi inayomkabili aliyekuwa kipa wa Yanga SC, Juma Kaseja, hadi Machi 10 mwaka huu kutokana na nyaraka za upande wa walalamikiwa kuungua moto.
Kaseja alishtakiwa na timu yake hiyo ya zamani ikidai fidia ya Sh milioni 340, ambayo ni Sh milioni 40 pamoja na fidia ya Sh milioni 300, ambazo ni gharama za usumbufu wa kuvunja mkataba, kumhudumia na kutunza kiwango chake kwa...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Nyaraka feki zalitikisa Bunge
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/David-Misime--November22-2014.jpg)
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Nyaraka zakwamisha kesi ya Mhando
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam, imetoa muda kwa upande wa Jamuhuri kuleta nakala halisi ambazo zilipelekwa katika Bodi ya zabuni na kuruhusu ununuzi ufanyike. Kesi hiyo...
11 years ago
Habarileo04 Feb
Choo chahifadhi nyaraka za mahakama
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imefunga choo chake kwa matumizi yaliyokusudiwa, badala yake choo kinahifadhi nyaraka mbalimbali za mahakama hiyo. Aidha, wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza, Mahakama ya Mwanzo Bukonyo, inakabiliwa na uchakavu wa majengo.
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Nyaraka za siri zamuumbua,Netanyahu