Nyaraka za Kaseja zaungua
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Kazi Tanzania, Kitengo cha Usuluhishi na Uamuzi (CMA), jana imeipiga kalenda kesi inayomkabili aliyekuwa kipa wa Yanga SC, Juma Kaseja, hadi Machi 10 mwaka huu kutokana na nyaraka za upande wa walalamikiwa kuungua moto.
Kaseja alishtakiwa na timu yake hiyo ya zamani ikidai fidia ya Sh milioni 340, ambayo ni Sh milioni 40 pamoja na fidia ya Sh milioni 300, ambazo ni gharama za usumbufu wa kuvunja mkataba, kumhudumia na kutunza kiwango chake kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Moto wachoma nyaraka, waahirisha kesi ya Kaseja, Yanga
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2n1dS650TD8/default.jpg)
11 years ago
Habarileo04 Feb
Choo chahifadhi nyaraka za mahakama
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imefunga choo chake kwa matumizi yaliyokusudiwa, badala yake choo kinahifadhi nyaraka mbalimbali za mahakama hiyo. Aidha, wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza, Mahakama ya Mwanzo Bukonyo, inakabiliwa na uchakavu wa majengo.
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Nyaraka zakwamisha kesi ya Mhando
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam, imetoa muda kwa upande wa Jamuhuri kuleta nakala halisi ambazo zilipelekwa katika Bodi ya zabuni na kuruhusu ununuzi ufanyike. Kesi hiyo...
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Nyaraka za siri zamuumbua,Netanyahu
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/David-Misime--November22-2014.jpg)
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Nyaraka feki zalitikisa Bunge
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-o2-5U1lmIVE/Vcu_cZPmIMI/AAAAAAAD3Gg/V3aUVSF6jnI/s72-c/0%252C%252C16052859_303%252C00.jpg)
Nyaraka Hizi Hapa: Kashfa ya Richmond
![](http://4.bp.blogspot.com/-o2-5U1lmIVE/Vcu_cZPmIMI/AAAAAAAD3Gg/V3aUVSF6jnI/s640/0%252C%252C16052859_303%252C00.jpg)
Naomba wachangiaji msome barua ya katibu mkuu wizara ya madini kwa umakini mkubwa.Katibu alipewa mamlaka ya kuingia mkataba na RICHMOND baada ya baraza la mawaziri kuridhia mapendekezo kutoka kamati ya serikali ya majadiliano (GNT).Credit:Kengete blog
![](http://3.bp.blogspot.com/-jr4VLmwrpzk/VctyDCSffRI/AAAAAAAAJgQ/dmx3KUAtjWk/s1600/11229361_880645252010391_676831913078191289_n.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-N2AzPScNRLo/VctyDcwnJvI/AAAAAAAAJgM/u1jf44PShcs/s1600/11222023_880645275343722_6512420941861270747_n.jpg)
10 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.