Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Choo chahifadhi nyaraka za mahakama

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imefunga choo chake kwa matumizi yaliyokusudiwa, badala yake choo kinahifadhi nyaraka mbalimbali za mahakama hiyo. Aidha, wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza, Mahakama ya Mwanzo Bukonyo, inakabiliwa na uchakavu wa majengo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

CHOO...

No! Wakati supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiinjoi maisha kwenye hekalu lake lililoko maeneo ya Tegeta-Madale jijini Dar, habari kutoka nyumbani kwa mama yake mdogo alikozaliwa na kulelewa jamaa huyo Tandale zinadai kuwa choo cha nyumba yao kinamtia aibu. Choo cha nyumbani kwakina staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Habari kutoka kwa majirani waliokerwa na hali hiyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyaraka za Kaseja zaungua

Pg 29.feb 13NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MAHAKAMA ya Kazi Tanzania, Kitengo cha Usuluhishi na Uamuzi (CMA), jana imeipiga kalenda kesi inayomkabili aliyekuwa kipa wa Yanga SC, Juma Kaseja, hadi Machi 10 mwaka huu kutokana na nyaraka za upande wa walalamikiwa kuungua moto.

Kaseja alishtakiwa na timu yake hiyo ya zamani ikidai fidia ya Sh milioni 340, ambayo ni Sh milioni 40 pamoja na fidia ya Sh milioni 300, ambazo ni gharama za usumbufu wa kuvunja mkataba, kumhudumia na kutunza kiwango chake kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyaraka za siri zamuumbua,Netanyahu

Nyaraka za siri zilizochapishwa na gazeti la Guardian la London ambazo Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alizihusisha na mpango wa nyuklia wa Iran zadaiwa kumuumbua.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyaraka feki zalitikisa Bunge

Taarifa za kusambazwa kwa ripoti ‘feki’ ya IPTL jana ziliwagawa wabunge, baadhi wakitaka lijadiliwe huku Spika Makinda akipinga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shimo la choo laua watoto

WATOTO wawili wamefariki dunia juzi baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo walipokuwa wakicheza. Watoto hao wametajwa kuwa ni Abubakari Mohamed (3) mkazi wa Vingunguti na Abdulmalick (3) mkazi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyaraka zakwamisha kesi ya Mhando

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam, imetoa muda kwa upande wa Jamuhuri kuleta nakala halisi ambazo zilipelekwa katika Bodi ya zabuni na kuruhusu ununuzi ufanyike. Kesi hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Naishi kwa huduma ya choo

Pengine inaweza kuwa ni biashara ngumu na yenye changamoto nyingi kufanywa na wanawake, lakini hii haimkatishi tamaa Blandina Mgimba (29).

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO

Na Innocent Kansha- Mahakama  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa  njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu,  kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani