Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHOO...

No! Wakati supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiinjoi maisha kwenye hekalu lake lililoko maeneo ya Tegeta-Madale jijini Dar, habari kutoka nyumbani kwa mama yake mdogo alikozaliwa na kulelewa jamaa huyo Tandale zinadai kuwa choo cha nyumba yao kinamtia aibu. Choo cha nyumbani kwakina staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Habari kutoka kwa majirani waliokerwa na hali hiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Shimo la choo laua watoto

WATOTO wawili wamefariki dunia juzi baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo walipokuwa wakicheza. Watoto hao wametajwa kuwa ni Abubakari Mohamed (3) mkazi wa Vingunguti na Abdulmalick (3) mkazi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Naishi kwa huduma ya choo

Pengine inaweza kuwa ni biashara ngumu na yenye changamoto nyingi kufanywa na wanawake, lakini hii haimkatishi tamaa Blandina Mgimba (29).

 

11 years ago

Habarileo

Choo chahifadhi nyaraka za mahakama

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imefunga choo chake kwa matumizi yaliyokusudiwa, badala yake choo kinahifadhi nyaraka mbalimbali za mahakama hiyo. Aidha, wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza, Mahakama ya Mwanzo Bukonyo, inakabiliwa na uchakavu wa majengo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule yafungwa kwa kukosa choo

SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO ATUPWA CHOO BAADA YA KUJIFUNGUA

kuradhi kwa picha hii hivi ndivyo wasamalia wema waliowenza kumpoa mtoto huyo kwenye shimo la choo.
Tukio hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbukiza kichanga hicho mwenye jinsia ya Kiume chooni.

Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajisaidia vichakani kwa kukosa choo

Kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Global Vision, kilichopo Chekereni Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro kinakabiliwa na ukosefu wa choo hali inayosababisha watoto kujisaidia vichakani.

 

10 years ago

GPL

APANGA CHUMBA, KUMBE NI CHOO, ATUMBUKIA!

Na Shani Ramadhani
HII nayo kali! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Happy au mama Hassan, mkazi wa Mbande jijini Dar, wiki iliyopita yalimpata mazito kufuatia kutumbukia kwenye shimo la choo lililokuwa katikati ya chumba  anachoishi kwenye nyumba aliyopanga, Uwazi lina mkasa wote.
Muonekano wa chumba hicho chenye choo ndani. Tukio hilo lilitokea wakati mwanamama huyo akifanya usafi chumbani humo na kujikuta...

 

10 years ago

BBCSwahili

Harufu ya Choo yalazimu ndege ya BA kutua

Ndege moja ya shirika la ndege la British Airways imelazimika kutua kufuatia harufu mbaya iliyokuwa ikitokea kwa choo

 

11 years ago

Mwananchi

Kichanga chaokolewa ndani ya shimo la choo

Mtoto mchanga mwenye umri wa siku mbili amenusurika kufa baada ya mama yake mzazi, Hadija Pangani (29) Mkazi wa Kijiji cha Mpiruka Wilaya Nachingwea, Lindi kumfunga kwenye kiroba na kumtumbukiza chooni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani