Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea waahidi uchaguzi wa amani Nigeria

Wagombea wawili wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria wameahidi kufanyika kwa uchaguzi wa amani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU TAMISEMI AWAASA WANASIASA,WAGOMBEA NA WASHABIKI KUENDESHA KAMPENI KWA AMANI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...

 

9 years ago

Michuzi

Nkone, Lissu, Mwangila waahidi makubwa Tamasha la Amani Dar

 

Mwenyekiti wa maandalizi ya Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwimbaji wa nyimbo za injili, Christopher Mwahangila na Upendo Nkone. (Picha na Francis Dande)
 Mwimbaji wa nyimbo za injili, John Lissu akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha la kuombea Amani Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Polisi waahidi dola laki 3

Polisi nchini Nigeria wameahidi kumtunuku dola laki tatu za Marekani yeyote atakayetoa habari zitakazowasaidia kuwapata zaidi ya wasichana mia mbili waliotekwa

 

9 years ago

Habarileo

Waahidi kuendesha kesi za uchaguzi kwa kasi

MSAJILI Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Katarina Revocatti na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, John Kahyoza wameahidi kuwa na kasi katika uendeshaji wa kesi zitakazojitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika keshokutwa Jumapili nchi nzima.

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

9 years ago

Habarileo

Wagombea wahimizwa amani

SHEHE wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amewahimiza wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu kufanya kampeni za kistaarabu ili kulinda amani.

 

9 years ago

StarTV

Waangalizi wa EAC waahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria katika Uchaguzi mkuu.

Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imezinduliwa jijini Dar es Salaam na kusema itafanya kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na kanuni za jumuiya hiyo.

Timu hiyo ina jumla ya waangalizi 67 wa kutoka nchi NNEe kati ya tano ambao ni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mwenyekiti akiwa Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Moody Awori.

 Waangalizi hao miongoni mwao ni wabunge wa        Bunge la Afrika Mashariki, Tume za Taifa za Uchaguzi,...

 

9 years ago

Habarileo

Wagombea urais wanne wasisitiza amani, umoja

WAGOMBEA wanne wa urais wamesisitiza amani na umoja wa Tanzania, huku wakielezea kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa chanzo cha kuibuka kwa viashiria vya ubaguzi wa kidini, ukanda na ukabila.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagombea urais Nigeria mchuano ni mkali

Mchuano mkali upo kati ya Rais Goodluck Jonathan na Muhammudu Buhari katika kuwania urais nchini Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani