Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahamiaji zaidi wapokelewa Ujerumani

Wahamiaji zaidi wapokelewa na watu waliojitolea Ujerumani na Austria huku serikali yakutana kutafuta mkakati

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani:Wahamiaji ni Muhimu

Maafisa nchini Ujerumani wanasema wahamiaji wanaowasili kutoka nchini kama Syria watasaidia kujaza pengo la ukosefu wa wataalamu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani na ongezeko la wahamiaji

Serikali ya Ujerumani imetangaza hatua kadhaa zitakazotumiwa kuisaidia kukabiliana na ongezeko la wahamiaji

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 1000 wawasili Ujerumani

Treni zinazobeba mamia ya wahamiaji zimewasili katika Ujerumani baada ya serikali ya Hungary kusitisha juhudi zake za kuwasajili

 

9 years ago

BBCSwahili

Kampuni ya Ujerumani yawapa wahamiaji ajira

Siemens, moja ya kampuni kubwa nchini Ujerumani, imejitenga na kampuni nyingine na kuamua kutoa ajira kwa wingi kwa vijana ambao wanawasili nchini humo kama wakimbizi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji:Ujerumani kudhibiti mpaka wake

Ujerumani inatarajiwa kuanzisha vidhibiti vya mda katika mpaka wake na taifa la Austria ili kukabiliana na idadi kubwa ya wahamiaji kulingana na waziri wa maswala ya ndani nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 20 zaidi wazama Mediterenian

Shirika la IOM lasema limepokea ujumbe wa dharura kutoka kwa meli iliyokuwa ikizama na wahamiaji 300 katika bahari ya Mediterranean

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji zaidi ya 50 wafariki Libya

Watu wapatao 50 wamekutwa wamekufa katika sehemu ya mizigo ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji waliokamatwa katika pwani ya Libya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha ya wahamiaji ndio bora zaidi

Mpiga picha Mmarekani John Stanmeyer ameshinda shindano la picha bora zaidi mwaka 2014 kwa picha yake ya wahamiaji Djibouti.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya wahamiaji 200 waangamia Libya

Zaidi ya wahamiaji 200 wanahofiwa kufariki baada ya mashua walimokuwa wakisafiria kuzama pwani ya Libya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani