Wajawazito wajifungulia kwenye vichaka
WAJAWAZITO katika Kijiji cha Chonde, Kata ya Makanda wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, wanalazimika kujifungulia njiani na vichakani kutokana na kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya afya.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Diwani wa Kata ya Makanda, Antony Lyamunda, alisema wajawazito hao hujifungua wakati wakienda katika Zahanati ya Makanda.
“Kijiji cha Chonde tangu nchi hii ipate uhuru hakijawahi kuwa na kituo chochote cha afya, kwa hiyo baadhi ya wananchi wanalazimika kutumia mitishamba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 May
Wajawazito wajifungulia kwenye mitumbwi
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Wajawazito wajifungulia kwenye tenga Mkuranga
WAJAWAZITO katika Kijiji cha Chamgoi, Kata ya Mkamba, wilayani Mkuranga, Pwani, wamekuwa wakijifungua njiani kwenye matenga kutokana na kukosa kituo cha afya. Hayo yalibainika juzi kijijini hapo, baada ya Kamati...
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wanawake wengi bado wajifungulia majumbani
LICHA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoa huduma bure za afya kwa wajawazito, ni asilimia 12.4 tu ya wanawake wanajifungulia katika hospitali za serikali.
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Vodacom yawakumbuka wajawazito
WAJAWAZITO 225,000 wanaotumia mtandao kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom wamejiunga na huduma ya ujumbe mfupi wa uzazi salama chini ya mpango wa Healthy Pregnancy, Healthy Baby (HPHB). Mpango...
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
‘Umasikini unaua wajawazito’
MUUGUZI Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Revocatus Dominick, amesema kina mama wengi wamekuwa wakipoteza maisha wakati wa kujifungua, kutokana na umasikini wa vipato. Dominick alitoa kauli hiyo alipozungumza...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Je,wajawazito hulala na wakunga?
10 years ago
Habarileo07 Dec
DC awaokoa wanafunzi wajawazito
BAADHI ya wanafunzi walioacha masomo, baada ya kupata ujauzito wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameelezea kujutia makosa hayo na kumuomba Mkuu wa Wilaya kuwasaidia warudi shuleni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yhCsS*vRHKhlbMvvDmdx7gX4JRjy8HJC-tH03ZlEqnUER2pDIlxqAyVVzDLfnfENzTlseTHB-Blb4PY2pOZ*iSwlvxL8OiCc/PregnancyYeastInfection300x199.jpg?width=650)
MAAMBUKIZI YA FANGASI KWA WAJAWAZITO
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
‘Wajawazito acheni dawa za kienyeji’
KINA mama wilayani hapa wametakiwa kuacha kutumia dawa za kienyeji ili kuendeleza uchungu wa kujifungua pindi wanapokuwa wajawazito. Wito huo ulitolewa mjini hapa jana na Mratibu wa Afya ya Uzazi...