Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakamatwa kwa kutelekeza maiti Bali

Polisi kisiwani Bali nchini Indonesia wanawashikilia watu 2 baada ya mwili wa mwanamke kupatikana kwenye mfuko wa kusafiria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ndugu wanaokula maiti za watu wakamatwa tena Pakistan

>Watu wawili wanaotuhumiwa kula nyama za binadamu wamekamatwa baada ya kichwa cha mtoto wa miaka mitatu, kukutwa katika nyumba wanayoishi nchini Pakistan.

 

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Ashitakiwa kwa kutelekeza familia

MFANYABIASHARA Baseif Salum (46), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu shitaka la kutelekeza familia.

Mbele ya Hakimu Benjamin Mwakasonda, Karani Hatanawe Kitogo, mwishoni mwa wiki alidai mshitakiwa alitenda kosa hilo Januari Mosi mwaka huu, saa 4:00 asubuhi, eneo la Kariakoo, wilayani Ilala.

Anadaiwa kumtelekeza mkewe Rahma Said na watoto wawili bila kumpatia huduma yoyote, huku akijua anatenda kosa hilo kinyume cha sheria.

Mshitakiwa alikana kutenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Karume aenziwe, si kwa maneno bali vitendo

Watanzania leo wanafanya kumbukizi ya miaka 43 tangu alipouawa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Sheikh Abeid Amani Karume.

 

5 years ago

Michuzi

KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI


Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha


Na Ahmed Mahmoud Arusha

CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.

Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...

 

5 years ago

Michuzi

MGALU ASEMA ATACHAPAKAZI NA KUTUMIKIA JAMII SI KWA AJILI YA UCHAGUZI BALI KUTIMIZA DHAMANA YA UONGOZI ALIYOPEWA






NA MWAMVUA MWINYI, PWANI .
Mbunge Viti Maalum – Pwani, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema ataendelea kupiga kazi na kutumikia wanawake pamoja na wananchi si kwa ajili ya uchaguzi bali kwakuwa amepewa dhamana ya kutumikia wananchi kipindi cha miaka mitano .

Aliyasema hayo ,wakati alipotoa mchango wa vyerehani 29 katika hatua ya awali kwa kundi la watu wenye Ulemavu kupitia mashirikisho yao ya ngazi za Wilaya na Mkoa.

Mgalu amefanya tukio hilo kwa kuitekeleza Ilani ya...

 

5 years ago

Michuzi

CCM HAKINA BEI YA BINADAMU BALI UTUMISHI KWA WANANCHI NDIO SILAHA MADHUBUTI ASEMA MASAWE



Kamati ya siasa wilaya ya Arusha mjini ukiendelea na kikao chake pamoja na kuwapokea waliokuwa madiwani wa kata za Ngarenaro na Sakina waliojiunga na chama hicho leo

Viongozi wa ccm kata ya Ngarenaro waliomsindikiza aliyekuwa Diwani wa kata hiyo Isaya Doita kujiunga na chama hicho leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Wajaumbe wa kamati ya siasa CCM ya halmashauri ya Jiji la Arusha kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa UWT wilaya hiyo Merry Kisaka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi...

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI ADAIWA KUTELEKEZA MKE

Stori: HAMIDA HASSAN/Risasi
Mchungaji wa kanisa analosali msanii wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ na wenzake lililopo Sinza, Dar, Godwin Mwamposa amekanyaga skendo kufuatia madai ya kumtelekeza mkewe aitwaye Sylvia mwenye mtoto mmoja ambayo imetua kwenye dawati la gazeti hili. Mchungaji Godwin Mwamposa na mkewe siku ya ndoa yao. Ndugu wa Sylvia afunguka
Awali, ndugu aliyejitambulisha kuwa anaishi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC adaiwa kutelekeza watoto Brazil

WACHEZAJI sita wa ‘The Dream Team’ mkoani hapa waliofanikiwa kupata nafasi na kutimiza masharti ya kupelekwa nchini Brazil kushuhudia mechi za Kombe la Dunia wamekumbana na adha baada ya kulazwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani