Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Kitanga walalamikia unyanyasaji

WANAKIJIJI wa Kitanga,  wilayani Kisarawe, Pwani wamelalamikia vitendo vya unyanyasaji wanavyofanyiwa na Kampuni ya World Map inayojihusisha na upimaji wa ardhi katika maeneo hayo. Wakizungumza  katika mkutano uliowakutanisha wanakijiji na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi Mpanga walalamikia mpaka wa hifadhi ya Kipengele

 

Wakazi wa kata ya Mpanga Kipengele Wilaya ya Mbarali Mkoani mbeya, wamelalamikia shirika la Hifadhi ya Taifa Mpanga Kipengele, kuwafanyia vitendo vya unyanyasaji na kupora ardhi yao.

Mlalamiko hayo yametolewa katika mkutano wa hadhara uliohUsisha wananchi, uongozi wa Halmashauri ya Mji Rujewa na uongozi wa Hifadhi hiyo, mkutano ambao umelenga kumaliza mgogoro uliopo.

Katika mkutano huo, wananchi wakiongozwa na diwani wa kata hiyo Peter Vicent wamesema, wameshtushwa na kuona mpaka unazidi...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA BUGURUNI WALALAMIKIA KUONGEZEKA KWA UCHAFU

Mwenyekiti wa serikali za mitaa Buguruni-Madenge, Mwishehe Mbegete akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Rundo la uchafu pembeni mwa nyumba.…

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia

tamwa

 Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.

Na Mwandishi wetu

CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).

Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.

Alisema tukio hilo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu

SAM_1999

Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_2002_1

 

Na Jumbe Ismailly, Singida      

WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Unyanyasaji wa watoto magerezani

Ripoti mpya imebaini kuwapo kwa unyanyasaji mkubwa wa watoto wanaoshikiliwa kwenye magereza na mahabusu mbalimbali nchini. Ripoti hiyo yenye kurasa 94 iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza hali za watoto magerezani na kwenye vituo vya polisi kwa mwaka 2012 na 2013, imebainisha kuwa walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwamo wizi wa kutumia silaha, dawa za kulevya, mauaji, ubakaji na uzururaji. Timu ya wachunguzi ya tume hiyo ilitembelea magereza na vituo vya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Unyanyasaji wa Kingono marufuku:UN

Ripoti ya umoja wa mataifa inasema askari waliopo katika maeneo ya kulinda amani watakaojihusisha na vitendo vya unyanyasaji wa kingono watachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwaondoa katika maeneo hayo

 

10 years ago

BBCSwahili

FA:Matamshi ya unyanyasaji yaripotiwe

Chama cha soka England, FA, kimewataka mashabiki kutoa taarifa kuhusu unyanyasaji wa kijinsia katika michezo

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme ahusishwa na unyanyasaji UK

Kasri ya Buckingham imepinga madai kwamba mmoja ya wana wa malkia Mwanamfalme Andrew amekuwa akijihusisha na tabia mbaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani