Wakazi Mpanga walalamikia mpaka wa hifadhi ya Kipengele
Wakazi wa kata ya Mpanga Kipengele Wilaya ya Mbarali Mkoani mbeya, wamelalamikia shirika la Hifadhi ya Taifa Mpanga Kipengele, kuwafanyia vitendo vya unyanyasaji na kupora ardhi yao.
Mlalamiko hayo yametolewa katika mkutano wa hadhara uliohUsisha wananchi, uongozi wa Halmashauri ya Mji Rujewa na uongozi wa Hifadhi hiyo, mkutano ambao umelenga kumaliza mgogoro uliopo.
Katika mkutano huo, wananchi wakiongozwa na diwani wa kata hiyo Peter Vicent wamesema, wameshtushwa na kuona mpaka unazidi...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Wakazi Kitanga walalamikia unyanyasaji
WANAKIJIJI wa Kitanga, wilayani Kisarawe, Pwani wamelalamikia vitendo vya unyanyasaji wanavyofanyiwa na Kampuni ya World Map inayojihusisha na upimaji wa ardhi katika maeneo hayo. Wakizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanakijiji na...
10 years ago
GPLWAKAZI WA BUGURUNI WALALAMIKIA KUONGEZEKA KWA UCHAFU
10 years ago
Dewji Blog20 May
Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu
Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly, Singida
WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi
Modewjiblog team
Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.
Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya...
9 years ago
StarTV07 Sep
Mbeya, Njombe yaanza majadiliano kubadili pori la mpanga.
Mikoa ya Mbeya na Njombe kupitia vikao vya Kamati za Ushauri RCC itaanza mchakato wa mashauriano yanayolenga kuupima kwa mara nyingine mpango wa kulibadili pori la akiba la Mpanga Kipengere kuwa Hifadhi ya Taifa.
Hivi sasa Miaka mitano iliyopia wadau wa maeneo hayo walijadili na kuona umuhimu wa pori hilo kubadilishwa na kuwa hifadhi ya Taifa na kazi hiyo iliwekwa katika andiko la Mradi wa Kuboresha mtandao wa maeneo yaliyohifadhiwa kusini mwa Tanzania SPANEST.
Hata hivyo, ni miaka mitatu...
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Facebook yafungua tena kipengele cha usalama
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
TGNP wapinga Rasimu kutoweka kipengele cha kumwajibisha Rais
Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari jana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto).
Na Mwandishi wetu
WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS), linaloratibiwa na mtandao wa kijinsia...
10 years ago
Mtanzania16 Mar
Zitto: Kipengele kilichotumika kunifukuza Chadema kilitungwa kwa ajili yangu
Na Fredy Azzah
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amevunja ukimya baada ya kuzungumzia tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielezwa juu yake, ikiwamo usaliti ndani ya chama chake na hatima yake ya siasa baada ya kutimuliwa.
Katika mahojiano haya, zitto anatoa maelezo yote juu ya tuhuma dhidi yake.
Swali: Mwaka 2009, ulitaka kugombea uenyekiti wa Chadema, uamuzi huo ulikuwa ni wako mwenyewe ama kuna watu nyuma yako walikushawishi kufanya hivyo?
Jibu: Chadema nilivyoingia kwenye uongozi...
9 years ago
Bongo506 Nov
Washindi wa tuzo za MOBO 2015 watangazwa, Si Davido wala Wizkid aliyeshinda kipengele cha Afrika
![Mobo awards](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mobo-awards-300x194.png)
Tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) zimetolewa Jumatano ya Novemba 4 huko Leeds, Uingereza.
Fuse ODG
Wasanii wa Afrika walikuwa wakishindana kwenye kipengele kimoja tu cha ‘Best African Act’ ambapo msanii aliyeibuka kidedea kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG.
Fuse ODG amewashinda Wizkid, Davido, Patoranking, AKA, Yemi Alade, Moelogo, Mista Silva, Shatta Wale na Silvastone ambao walikuwa wakiwania kipengele hicho. Hakukuwa na msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki aliyeingia kwenye...