Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Mkuranga waomba kuhamishiwa Dar

WAKAZI wa vijiji vya Mfuru Mwambao, Yavayava na Marogoro, wilayani Mkuranga, Pwani,  wameitaka  serikali iwahamishie katika Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kutokana na wilaya hiyo kushindwa kuwapatia huduma za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na wateja wa Vodacom na watanzania kwa ujumla wamepata fursa ya kununua bidhaa mbalimbali kupitia gulio la”Vodacom Expo” lililofanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Leaders Club.  Sekta ya mawasiliano nchini inakua kwa kasi kila kukicha na kuchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya nchi tofauti na zamani. Kampuni ya Vodacom kwa kulitambua hilo inafanya jitihada za kuhakikisha wateja wake wote wananufaika na teknologia ya kisasa ya huduma za...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA‏

Kundi la TMK Dancers wakiburudisha wateja waliojitokeza katika gulio la Vodacom Expo lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Gulio hilo liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa kampuni za mawasiliano liliwapatia wateja wake fursa ya kununua  bidhaa za mawasiliano kwa punguzo la bei kwa siku mbili mfululizo.…
...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Tambani waomba daraja

WAKAZI wa kitongoji cha Tambani A, wilayani Mkuranga Pwani, wanamwomba Rais Jakaya Kikwete kuwajengea daraja katika mto Mzinga, ili barabara inayowaunganisha na Kata ya Chamazi wilaya ya Temeke, Dar es...

 

10 years ago

StarTV

Wakazi Golimba Manyara waomba kujengewa Zahanati.

Na Zacharia Mtigandi,

Manyara.

Baadhi ya wakazi wanaoishi maeneo ya vijijini mkoani Manyara wanaopata huduma za matibabu kwa njia ya ndege wameiomba Serikali kuwajengea vituo vya afya na zahanati ili kuepusha vifo vinavyoweza kuepukika.

Wamesema utaratibu wa ndege kuwaletea dawa kila mwisho wa mwezi hauokoi maisha yao hasa kwa wagonjwa wanaougua magonjwa yanayohitaji matibabu ya haraka.

Wakati Serikali ikionyesha kupiga hatua kubwa katika sekta ya afya kwa kujenga hospitali, vituo vya...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua

Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.

Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.

 Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...

 

10 years ago

GPL

WADAU KIKAPU DAR WAOMBA SAPOTI KUFUFUA MCHEZO HUO

Wadau mbalimbali wa mchezo wa basketball.
Wanahabari toka vyombo mbalimbali wakiwa katika…

 

10 years ago

Michuzi

Mrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu jijini dar leo

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishiliki zoezi la uchangiaji damu katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuhamishiwa Hoteli Maalum

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, jana, Jumatano, Novemba 12, 2014, anatarajiwa kutoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalum ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.

Rais Kikwete amekuwa kwenye Hospitali ya Johns Hopkins tokea Jumamosi iliyopita wakati alipofanyikwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) na afya yake imekuwa inaimarika kiasi cha kuanza...

 

9 years ago

Mwananchi

Mnyika akosoa Tamisemi kuhamishiwa ofisi ya Rais

Mbunge wa jimbo la Kibamba, John Mnyika amekosoa uamuzi wa Rais John Magufuli wa kuhamishia wizara inayohusu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) chini ya ofisi yake, akidai kitendo hicho kimelenga kuvibana vyama vya upinzani ambavyo vimeshinda halmashauri nyingi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani