Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi wa Kagera kununuliwa meli

SERIKALI inatarajia kununua meli mpya kwa ajili ya wananchi wa mkoa wa Kagera, itakayotoa huduma katika Ziwa Victoria. Pia, serikali imetangaza kuwa itanunua meli zingine tatu kwa ajili ya kutoa huduma katika maziwa matatu ya Victoria, Tanganyika na Nyasa, Bunge lilielezwa jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Usafiri wa meli waendelea kutesa abiria Mwanza, Kagera

 Usafiri wa meli kati ya Mwanza na Kagera, upo shakani kutokana na kutokamilika mapema matengenezo ya Meli ya MV Serengeti, inayochukua nafasi ya MV Victoria iliyosimamisha safari kutokana na ubovu.

 

5 years ago

CCM Blog

BAADA YA MIAKA MITATU SASA WANANCHI KAGERA KUIONA MELI, KUTIA NANGA JUNI 28, 2020

Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akizungumza na waendesha bodaboda wa Manispaa ya Bukoba akiwaeleza mambo mbalimbali ikiwemo kuchangamkia fursa meli itakapowasili mjini bukoba na kuanza safari zake za Bukoba –Mwanza.

Na Allawi Kaboyo Bukoba.Wananchi mkoani Kagera na maeneo jirani watakiwa kujiandaa na fursa mbalimbali zitakazojitokeza baada ya meli ya NEW MV VICTORIA HAPA KAZI TU kuanza safari zake za Bukoba-Mwanaza ikiwa ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 98%...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MWANZA NA KAGERA WAMEENDELEA KUPATA SHIDA YA USAFIRI.

Wakazi wa Mwanza na Kagera wameendelea kupata shida ya usafiri kutokana na fedha zilizotengwa na serikali kurekebisha meli ya Mv.Victoria kutumika kulipia mishahara ya wafanyakazi.

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Kagera watakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola

Wananchi mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola ili kufanikisha kukamatwa kwa wahusika wa matukio ya uchomaji wa makanisa  mkoani humo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera John  Mongella  wakati alipotembelea makanisa manne yaliyochomwa moto mwanzoni mwa wiki hii yakikamilisha idadi ya makanisa saba yaliyofanyiwa uhalifu huo ndani ya wiki mbili.

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera John  Mongella  akiambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inaanzia...

 

10 years ago

Michuzi

ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA KAGERA KWA MARA YA KWANZA LEO


Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Akifurahia mara baada ya kutua Bukoba na tayari kuwahutubia wakazi wa mji wa Bukoba leo wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mashujaa/Uhuru Platform Bukoba leo Jumatatu tarehe 15 june, 2015. Kiongozi huyu ambaye amefuatana na viongozi wenzake wa juu wa chama hicho, yuko kwenye ziara ya kukitangaza chama na sera mpya ya azimio la arusha lenye usasa. 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiongea na wakazi wa Mji wa Bukoba...

 

11 years ago

Habarileo

Taarifa za wahariri kununuliwa zamkera RC

SERIKALI imeelezea kusikitishwa kwake na kuwapo kwa taarifa za baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wahariri wake kununuliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mahakimu wa wilaya kununuliwa magari

IDARA ya Mahakama Tanzania inatarajia kununua magari kwa Mahakimu wa Wilaya nchini. Lengo la hatua hiyo ni kuboresha utendaji wa kazi za mahakama wanazozisimamia, zikiwemo za Mahakama za Mwanzo.

 

11 years ago

Mwananchi

Makinda: Wajumbe Bunge la Katiba msikubali kununuliwa

>Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amewafunda wajumbe wa Bunge la Katiba, akiwataka kutokubali kununuliwa kwa chai wala fedha na kusahau jukumu lao la kulinda masilahi ya taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BoT yadhibiti bidhaa za ndani kununuliwa kwa fedha za kigeni

SHERIA ya usimamizi wa fedha za kigeni ya mwaka 1992 na kanuni za fedha za kigeni za mwaka 1998 zinaeleza kwamba Watanzania wanaruhusiwa  kupokea, kumiliki na kutumia fedha za kigeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani