Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakenya waanza kumiminika Tanzania

 Joto la uchaguzi wa nchini Kenya limezidi kupamba moto kufuatia

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wakenya waanza kutekeleza amri ya kutotoka nje usiku

Amri ya kutotoka nje nchini Kenya kuanzia saa moja usiku hadi saa kumi na moja alfajiri imeanza kutekelezwa

 

11 years ago

Habarileo

Misaada yazidi kumiminika Magole

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel BenderaOFISI ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafa imetoa tani 105 za mahindi na vifaa vingine kwa ajili ya watu walioathiriwa na mafuriko katika Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi TZ:Matokeo yazidi kumiminika

Wakati matokeo yanazidi kumiminika mwandishi wetu Tulanana Bohela ametembelea mitaa ya Dar es es salaam na kutuletea taarifa ifuatayo.

 

10 years ago

Habarileo

Medali zazidi kumiminika Olimpiki Maalumu

MAMBO yameendelea kuwa mazuri kwa wanariadha wa Tanzania wanaoshiriki michezo ya dunia ya Olimpiki Maalumu Marekani, baada ya kupata medali nyingine.

 

5 years ago

Michuzi

MAKONTENA YAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.


Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV

TRENI  ya pili ya mizigo yenye jumla ya makontena 20 imewasili katika Bandari Kavu ya Kwala iliyopo Kibaha mkoani Pwani kutoka Bandari ya Dar es Salaam na kufanya jumla ya makontena yaliyofikishwa katika bandari hiyo kufikia  49.

Kuanza kwa zoezi la kupokea makontena hayo kumekuja baada ya kukamilika kwa sehemu ya mradi huo ambapo jumla ya hekta 5.5 zimewekwa zege na reli kwa ajili ya kupokea kontena na kwamba eneo ni sehemu ya hekta 60 zitakazojengwa na litakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa wa Arsenal, waanza ziara yao Tanzania

stones..KLABU ya Arsenal leo imeanza mazungumzo rasmi na makampuni 20 ya hapa nchini kwa lengo la kufungua mahusiano ya kibiashara lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kutamba watapata fursa ya kudhuru hapa nchini.

Mapema mwenyeji wa wageni hao, Afisa mtendaji mkuu wa EAG Group, Bw Imani Kajura, alisema hii ni fursa sahihi kwa makampuni ya Tanzania kuchangamkia ili kutambulika kimataifa, na kutoa fursa kwa Nchi, kunufaika na miradi ya kijamii itakayoendeshwa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa umeme nafuu Kenya, Tanzania na Zambia waanza

UJENZI wa miundombinu ya kusafirisha umeme kutoka nchini Kenya kupitia Tanzania mpaka Zambia unaotarajiwa kupunguza bei za umeme kwa nchi husika umeanza, huku mawaziri wa sekta ya nishati kwa nchi husika wakikubaliana kukamilisha mwishoni mwa mwaka 2016.

 

10 years ago

Vijimambo

Wananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Afisa kutoka Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Bi. Asiya Hamdani akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Wananchi waliokuja kutembelea Banda la Wizara lililopo katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Utumishi wa Umma katika Bara la Afrika ni Chachu ya Kuwawezesha Wanawake, Kuongeza Ubunifu na Kuboresha Utoaji Huduma Kwa Umma". Afisa...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere maarufu kama Sabasaba.  Mkazi wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele wakati mteja huyo alipotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani