Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakristo wa Italia wawezesha zahanati ya kisasa Vikawe

IMG_0282

Mkuu wa Masista Waabuduo Damu ya Kristo, Euprasia Julius akimtambulisha mgeni rasmi na meza kuu kwa wageni waalikwa na wanakijiji wa Vikawe (hawapo pichani) katika hafla ya ufunguzi wa Zahanati ya Da.Ma Africa Maria De Mathias (MDM) Vikawe, Kibaha.

Na Mwandishi wetu, Kibaha

MGANGA Mkuu wa halmashauri ya Mji Kibaha, Dk. Happniness Ndosi amepongeza shirika la masisita wa Waabuduo Damu ya Kristo kwa kufanikisha ujenzi wa zahanati ya kisasa katika kijiji cha  Vikawe wilayani Kibaha mkoani...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA UVINZA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUJENGA ZAHANATI YA KISASA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mrisho Gambo akishirikiana na wanakijiji cha Mazungwe kilichopo kata ya kazuramimba Wilaya ya Uvinza kuchimba msingi wa zahanati ya kijiji hicho.Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii Kigoma. Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao Sehemu ya msingi imekamilika,inafuata hatua ya awali ya ujenzi zahanati hiyo ya kisasa katika kijiji cha Mazungwe Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali...

 

10 years ago

Michuzi

Dar City kukipiga na Kombaini ya Vikawe, Kibaha Mkoani Pwani

Kiungo mshambuliaji, Haruna Moshi ‘Boban’ na kipa, Juma Kaseja ni kati ya wachezaji watakaoiongoza timu ya Dar City kesho Jumapili Aprili 26,2015 kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kombaini ya Vikawe iliyopo Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa mratibu wa mchezo huo, Athuman Tippo ‘Zizzou’, mchezo umeandaliwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha michezo mkoani Pwani.
Tippo alisema kikosi cha Dar City kitajumuisha pia baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na kubainisha kuwa mechi hiyo itachezwa kesho...

 

10 years ago

Habarileo

Airtel wawezesha redio za UNESCO

KAMPUNI ya simu za mkononi ya AirteL kwa kushirikiana na UNESCO imewawezasha wakazi wa Uvinza kupata taarifa za kimaendeleo na habari za ndani na nje ya nchi kuTtokana na uzinduzi wa radio jamii Uvinza Kigoma.

 

10 years ago

Dewji Blog

CFAO Motors wawezesha wapenzi wa Formula One Dar kuona gemu

DSC_0009

Kukiwa na wanawake warembo katika magari yanayomeremeta, waliovikwa na  nguli wa mavazi Ally Rhemtulla kwa ajili ya kupokea wageni kwenye hafla ya kuona mashindano ya magari ya Formula One iliyoandaliwa na kampuni ya CFAO Motors kwa mashabiki wa mchezo huo na wateja wake.

Na Mwandishi wetu

JUMAPILI wakati kiwanja cha mbio za magari za Formula One cha Monza Italia kinawaka moto, wapenzi wa mchezo huo jijini Dare s salaam walipata uhondo wa kuona  mkali wa injini na udereva, katika skrini...

 

10 years ago

GPL

CFAO MOTORS WAWEZESHA WAPENZI WA FORMULA ONE DAR KUONA GEMU‏

Kukiwa na wanawake warembo katika magari yanayomeremeta, waliovikwa na nguli wa mavazi Ally Rhemtulla kwa ajili ya kupokea wageni kwenye hafla ya kuona mashindano ya magari ya Formula One iliyoandaliwa na kampuni ya CFAO Motors kwa mashabiki wa mchezo huo na wateja wake.   Karen Emilie Asla (kushoto) na Anette Otilie Pettersen kutoka Maendeleo Dance Group wakitoa burudani… ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo April 24, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh...

 

10 years ago

BBCSwahili

IS latoa video ya mauaji ya wakristo

Wanamgambo wa kundi la IS wametoa kanda ya video ambayo wanasema inaonyesha mauaji ya takriban Wakristo 30 kutoka Ethiopia

 

10 years ago

Habarileo

Pengo: Waacheni Wakristo wajiamulie

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo“MAASKOFU hatuna mamlaka ya kuwaamulia au kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu Katiba. Kuwaamulia ni kuwadharau kuwa hawawezi kufanya uamuzi sahihi wao wenyewe na kuingilia uhuru wao. “Waraka huu unaleta utengano katika taifa kuwa Wakristo tumechukua uamuzi dhidi ya Serikali na wengine....Tuwaache waumini wafanye uamuzi kwa tafakari yao binafsi bila shinikizo letu…”

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mateso ya Wakristo Iraq

Umoja wa Mataifa limelaani mashambulizi yanayofanywa na wapiganaji wa Jihad wa Iraq dhidi ya wakristo wa eneo wanalolishikilia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani