Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walcot asema hajakosana na Wenger

Theo Walcot anasema kuwa hajakosana na meneja Arsene Wenger na kuongezea kwamba bado hajaanza mazungumzo ya mkataba mpya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Walcot Kusalia Arsenal

Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott anakaribia kuongeza mkataba wake na klabu hiyo hadi mwaka wa 2019.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger:Walcot ndio tegemeo letu

Arsenal inaanza kampeni yake katika michuano ya vilabu bingwa Ulaya siku ya jumatano ikiwa itakabiliana na Dinamo Zagreb katika uwanja wa Stadio Maksimir.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tuna maswali ya kujibu asema Wenger

Wenger asisitiza kuwa wana uwezo wa kushinda ligi kuu msimu huu lakini amekiri kipigo walichopata Anfeild kimezua maswali mengi

 

11 years ago

Michuzi

Cesc Fabregas afunguka, asema Nimehamia Chelsea sababu Wenger kaniambia sina namba Arsenal

 Kiungo wa Spain  Cesc Fabregas (pichani) amefunguka leo kwa kusema alifanya mazungumzo na kocha wa Arsenal Arsene Wenge kabla ya kuhamia Chelsea, na kuambiwa kwamba nafasi yake tayari imeshacukuliwa na Mesut Ozil.  Fabregas alikuwa chagua la kwanza la Arsenal baada ya mchezaji huyo alipoamua kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu uliopita, lakini akamua kwenda Chelsea kwa dau la pauni milioni 30.  “Niliongea na Mzee Wenger naye akanambia atapata wakati mgumu kumpa nafasi ya kucheza kwani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yamwinda Theo Walcot

Kilabu ya Chelsea inaiangazia kwa karibu hali ya kandarasi ya mchezaji wa Chelsea Theo Walcot katika kilabu ya Arsenal

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho amkejeli Wenger

Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose Mourinho amemkosoa tena mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger akimtaja kuwa mfalme anayeongoza bila presha

 

11 years ago

Michuzi

ARSENE WENGER PWA!

Arsene Wenger jana alipatwa na majanga mawili ya mwaka baada ya kula mweleka muda mfupi baada ya timu yake ya Arsenal kupigwa 5-1 na Liverpool.  Meneja huyo wa washika bunduki wa Uingereza alikuwa anawahi treni kurudi London katika mtaa wa Lime jijini Liverpool akiwa na wachezaji wake alipoteleza na kuanguka pwa!  Meneja huyo mwenye umri wa miaka 64 anaokenana pichani akiwa anaburuta begi lake wakati akiingia stesheni, lakini mara tu baada ya kuvuka mlango wa kuingilia, anateleza na kula...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger na Mourinho warushiana maneno

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amemjibu mwenzake wa Arsenal Arsene Wenger baada ya Wenger kuhoji kuhusu mbinu ya Chelsea kulinda lango lake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger kuwanyamazisha wakosoaji wake

Meneja wa Asernal Arserne Wenger anataka kuwanyamazisha wakosoaji wake na ushindi dhidi ya Galatasaray baada ya mashibiki kumkemea kwa sababu ya kushindwa na Stoke 3-2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani