Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walemavu : Hatutashiriki uchaguzi

Wakati ukiwa umebaki mwezi mmoja na wiki moja ufanyike Uchaguzi Mkuu, kundi la watu wenye ulemavu lipo katika sintofahamu ya kushiriki ama la.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wataka liwepo jimbo la uchaguzi la walemavu

WATU wenye ulemavu wameomba kuwa na jimbo lao la uchaguzi katika chaguzi zijazo ili kuwa na nafasi nzuri ya uwakilishi katika vyombo vya kutoa maamuzi yaani Bunge na Baraza la Wawakilishi.

 

10 years ago

Habarileo

‘Vurugu zinazuia wanawake, walemavu kushiriki uchaguzi’

VURUGU wakati wa uchaguzi zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu za wanawake na watu wenye ulemavu kushindwa kujitokeza kushiriki kwenye uchaguzi. Utafiti uliofanywa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) umebaini hilo.

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU

Katibu Mtendaji wa Iclusive Development Promoters& Consultants (IDPC) Kaganzi Rutachwamagyo (kulia) mwenyekiti SHIVYAWATA, Amoni Mpanju na  Mwenyekiti umoja wa watu wenye ulemavu, Zanzibar Ali Makame. Mtoa mada kaganzi akichokoza mada.…

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHAKIKISHA INAWEKA MIUNDOMBINU MIZURI KWA WALEMAVU.


Na John Gagarini, Kibaha.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini (NEC) imesema kuwa itahakikisha kuwa inaweka miundombinu mizuri kwa watu wenye ulemavu wakati wa uboreshaji wa zoezi la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakalofanyika hivi karibuni.
Kutokana na umuhimu wa zoezi hilo Tume imejipanga kuhakikisha kila kundi ndani ya jamii ikiwemo ile ya walemavu wanashiriki kikamilifu zoezi hilo ambalo litaambatana na utoaji wa vitambulisho vipya vya wapiga kura vitakavyotumika kwenye wakati...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF: Hatutashiriki Sherehe za Mapinduzi

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitashiriki shughuli za maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi Zanzibar hadi uamuzi wa kura za wananchi utakapoheshimiwa.

 

10 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani