Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu Kibaha wadai mil. 30/-

KATIBU wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Kibaha, Elizabeth Thomas, amesema walimu wanakatishwa tamaa ya kufanya kazi kwa bidii kutokana na uhakiki wa madai yao kutokwenda haraka. Thomas alibainisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

USHIRIKA WA CHAURU WADAI WANACHAMA WAKE MIL.153-SADALA

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
CHAMA Cha Ushirika Wa Wakulima Wa Umwagiliaji -Ruvu,Chalinze mkoani Pwani (CHAURU), kinadai baadhi ya wanachama wake kiasi cha sh.milioni 153 ,madeni yanayochangia kushuka kwa mapato.

Kutokana na deni hilo, ushirika huo umeagiza kila mwanachama anaedaiwa ahakikishe analipa deni lake, hadi ifikapo Novemba mwaka huu. Akizungumzia matokeo ya ukaguzi na mapato na matumizi wakati wa mkutano mkuu wa ushirika huo ,mwenyekiti wa CHAURU ,Sadala Chacha alisema ,wadaiwa walikopa...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal achangia mil 10/- Mfuko wa Elimu Kibaha

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ameuchangia Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani kiasi cha Sh milioni 10.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kibaha yakusanya mil. 122/- kodi ya majengo

HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha, Pwani imesema hadi Juni 30, 2014 imekusanya sh milioni 122 kodi ya majengo ambayo ni sawa na asilimia 77 kati ya sh milioni 158.4 iliyotarajiwa....

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Mwanza wadaiwa kufuja mil. 33.6/-

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili wa wilayani Misungwi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za Serikali sh. milioni 33.6. Kamanda wa Polisi mkoa, Valentino Mlowola aliwataja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Walimu Singida waidai serikali mil 314/-

DSC02785

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha mkoa cha kupangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu,ili kuanza kidato cha kwanza mwakani.Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kanisa Katoliki mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

WALIMU mkoani Singida wanaidai serikali zaidi ya sh milioni 314 yakiwa ni malimbikizo ya madeni yao mbalimbali ya siku za nyuma kwa vipindi tofauti hadi kufikia Desemba mwaka huu.

Ofisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatenga mil. 500/- nyumba za walimu

SERIKALI imetenga sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli hiyo juzi kwa wananchi wa Tanga wakati...

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani