Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wasifu fedha za rada kununua madaftari

BAADHI ya walimu kutoka shule mbalimbali za msingi wilayani hapa wameipongeza serikali kwa kutekeleza ahadi yake ya kugawa vitabu vya masomo mbalimbali kwa shule kutokana na fedha zilizotokana na fidia ya rada (maarufu kama chenji ya rada).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Walimu wageuza madaftari viti

>Walimu wa Shule ya Msingi Mwatulole mkoani Geita, hawana meza wala viti hali inayowalazimu kukalia madaftari ya wanafunzi kwa kuyatandika kwenye magogo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Chenji ya Rada yatumika kununua Vitabu visivyo na ubora

Na Mwandishi maalumu – HakiElimu 

Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina  kasoro za ubora licha ya kupata Hati ya Ithibati (Certificate of Approval) kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Uchunguzi huo uliofanyika katika shule za msingi katika Wilaya ya Kilwa Masoko iliyoko mkoani Lindi umebaini pamoja na kasoro za ubora pia mgawanyo wa vitabu hivyo haukuzingatia mahitaji halisi...

 

9 years ago

Habarileo

Waunga mkono fedha za maadhimisho kununua dawa

TAASISI ya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam inayotoa huduma za kichungaji kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (Pasada), imeunga mkono agizo lililotolewa na Rais John Magufuli la kutaka fedha zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi kuelekezwa kununua dawa kwa ajili ya waathirika wa ukimwi na vitendanishi.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yagomea fedha za kununua ng’ombe

UPOTEVU wa ng’ombe kwenye ranchi za taifa umeilazimisha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoishauri Serikali kutoa fedha Sh bilioni 17 zilizoombwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco) kwa ajili ya kuboresha miundombinu.

 

5 years ago

CCM Blog

BALOZI SEIF ALI IDDI: POKEENI FEDHA ZA WANAOTAKA KUNUNUA UONGOZI NDANI YA CCM

   SALVATORY NTANDUMkamo wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Alli Idd amewataka viongozi wa ngazi za matawi,kata,wilaya na Mikoa kuzipokea fedha zinazotolewa na baadhi ya watia nia wanaotaka uongozi ndani ya Chama cha mapinduzi(CCM) mkoani shinyanga na kuwafichua kwa vyombo vya usalama ili wachukuliwe hatua Kali za kisheria.
Kauli hiyo ameitoa Julai 26 mwaka huu wilayani Kahama mkoani Shinyanga katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo akiwa ni mlezi wa CCM mkoani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fedha za walimu zayeyuka

FEDHA za motisha zilizotengwa kwa ajili ya ajira mpya ya walimu wanaopelekwa katika halmashauri zenye mazingira magumu zimeyeyuka bila Bunge kujulishwa licha ya kuwa fedha hizo zilipitishwa na Bunge la...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu 'watafuna' fedha za vitabu

WALIMU wanaoongoza shule za sekondari na msingi nchini, wametumia vibaya fedha za ruzuku za kununulia vitabu, hatua iliyolazimu Serikali kukata fungu la vitabu lililopaswa ku-pelekwa shuleni na kununua vitabu hivyo kwa niaba yao.

 

5 years ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA ZAANZISHA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA WAHUDUMU WA AFYA KUJIKINGA NA CORONA


Charles James, Michuzi TV

Katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona, Asasi za Kiraia zimeanzisha kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mapambano hayo.

Kampeni hiyo imelenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwanunulia vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona wahudumu wa afya nchini.

Akizungumzia kampeni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa AZAKI, Francis Kiwanga amesema wao kama Asasi za Kiraia wameguswa na mapambano ya ugonjwa huo hivyo wakaona ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika fedha za walimu Kilimanjaro

Utata umeibuka kuhusu mahali zilipo Sh986 milioni ambazo walimu wa Mkoa wa Kilimanjaro walikatwa kama marejesho ya fedha walizokopa chama cha walimu cha Akiba na Mikopo (Saccos).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani