Waliofeli kidato 2 kurudia darasa
IMEELEZWA kuwa, licha ya matokeo ya kidato cha pili kutolewa `kimyakimya’ kupitia ofisi za Elimu za Kanda na kubandikwa shuleni, hatua hiyo haimaanishi kuwa waliofeli wamenusurika kutorudia darasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Serikali yawabeba waliofeli kidato cha pili
Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebaini kuwa Serikali imetoa agizo kwamba wanafunzi wote waliofeli mtihani huo kuendelea na masomo ya kidato cha tatu, huku wakisoma mafunzo ya kurudia mtihani wa kidato cha pili.
11 years ago
Michuzi
MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA SHULE YA SEKONDARI MWILAMVYA KASULU KIGOMA
Na Editha Karlo wa Blog ya jamiiWIZARA ya Elimu na mafunzo ya ufundi imepigilia msumari wa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari na shule za msingi za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yeyote atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.
11 years ago
GPL
WALIOFELI WAHIMIZWA KUCHUKUWA FOMU
Muonekano wa sehemu ya jengo la chuo cha Mlimani School of Professional Studies. Stori: mwandishi wetu PROGAMU iliyoaanzishwa na Chuo cha Mlimani School of Professional Studies kwa kuwapa mafunzo wanafunzi waliofeli kidato cha nne, inawahimiza wanafunzi kuchukua fomu kwa wingi ili kujiunga na chuo. Mkuu wa Chuo hicho, Hassan Ngoma aliyesimama akifafanua jambo. Mkuu wa Chuo hicho, Hassan Ngoma amesema kama… ...
11 years ago
GPL
MAFUNZO YA WALIOFELI KUANZA MEI 26
Stori: mwanDISHI WETU MAFUNZO maalum kwa vijana waliofeli mtihani wa kidato cha nne mwaka jana, wamehimizwa kuchukua fomu za kujiunga na Chuo cha Mlimani Professional School of Studies kwani masomo rasmi yanatarajiwa kuanza Mei 26, mwaka huu. Kwa mujibu wa mkuu wa chuo hicho, Hassan Ngoma, wanatarajia kutoa mafunzo ya kozi mbalimbali ambazo zitamwezesha mwanafunzi kujiajiri katika nyanja mbalimbali kusaidia kupunguza idadi kubwa...
11 years ago
Mwananchi27 Oct
JWTZ haihitaji wanafunzi waliofeli mitihani
Brigedia Jenerali, Kongo Zoma amesema Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linahitaji wasomi wanaoendana na teknolojia iliyopo na wala halina nafasi kwa waliofeli.
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Wanafunzi 2,000 wagoma kurudia
WANAFUNZI 2,110 kati ya 3,933 waliotakiwa kurudia kidato cha pili mwaka 2013 baada ya kufeli mtihani wa taifa mwaka jana, wameingia mitini mkoani Pwani. Idadi hiyo ya wanafunzi kutoka katika...
10 years ago
Vijimambo
MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.Amesema baada ya...
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mitaa 89 Dar kurudia uchaguzi leo
Jumla ya mitaa 89 kutoka wilaya tatu za Mkoa wa Dar es Salaam, leo zinatarajiwa kufanya uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza katika uchaguzi uliofanyika Desemba 14 mwaka huu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania