Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALIOFELI WAHIMIZWA KUCHUKUWA FOMU

Muonekano wa sehemu ya jengo la chuo cha Mlimani School of Professional Studies. Stori: mwandishi wetu PROGAMU iliyoaanzishwa na Chuo cha Mlimani School of Professional Studies kwa kuwapa mafunzo wanafunzi waliofeli kidato cha nne, inawahimiza wanafunzi kuchukua fomu kwa wingi ili kujiunga na chuo. Mkuu wa Chuo hicho, Hassan Ngoma aliyesimama akifafanua jambo. Mkuu wa Chuo hicho, Hassan Ngoma amesema kama… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Singpress wahimizwa kuchukua fomu kwa uchaguzi

DSC07082

Mwenyekiti wa Singida Press Club (Singpress) mkoani Singida,( wa tatu kulia) Seif Takaza,akiendesha mkutano wa pamoja kati ya kamati ya utendaji na kamati ndogo ya uchaguzi uliofanyika mjini Singida. DSC07084 Baadhi wa viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida (Singpress na kamati ndogo ya uchaguzi, wakiendelea na mkutano wa maandalizi ya uchaguzia mkuu unaotarajiwa kufanyika julai 20 mwaka huu mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu). 

Na Nathaniel Limu, Singida

MWENYEKITI wa klabu...

 

11 years ago

Habarileo

Waliofeli kidato 2 kurudia darasa

IMEELEZWA kuwa, licha ya matokeo ya kidato cha pili kutolewa `kimyakimya’ kupitia ofisi za Elimu za Kanda na kubandikwa shuleni, hatua hiyo haimaanishi kuwa waliofeli wamenusurika kutorudia darasa.

 

11 years ago

GPL

MAFUNZO YA WALIOFELI KUANZA MEI 26

Stori: mwanDISHI WETU MAFUNZO maalum kwa vijana waliofeli mtihani wa kidato cha nne mwaka jana, wamehimizwa kuchukua fomu za kujiunga na Chuo cha Mlimani Professional School of Studies kwani masomo rasmi yanatarajiwa kuanza Mei 26, mwaka huu. Kwa mujibu wa mkuu wa chuo hicho, Hassan Ngoma, wanatarajia kutoa mafunzo ya kozi mbalimbali ambazo zitamwezesha mwanafunzi kujiajiri katika nyanja mbalimbali kusaidia kupunguza idadi kubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ haihitaji wanafunzi waliofeli mitihani

Brigedia Jenerali, Kongo Zoma amesema Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linahitaji wasomi wanaoendana na teknolojia iliyopo na wala halina nafasi kwa waliofeli.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dr Shein Kuchukuwa Form ya kugombea urais hapo kesho

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dr Ali Mohammed Shein kesho anatarajiwa kuchukuwa rasmi form ya kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu. Dr Shein amepangiwa saa […]

The post Dr Shein Kuchukuwa Form ya kugombea urais hapo kesho appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yawabeba waliofeli kidato cha pili

Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebaini kuwa Serikali imetoa agizo kwamba wanafunzi wote waliofeli mtihani huo kuendelea na masomo ya kidato cha tatu, huku wakisoma mafunzo ya kurudia mtihani wa kidato cha pili.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Afya Zanzibar awataka wananchi kuchukuwa Tahadhari zaidi kukabiliana na Maradhi ya Corona


Na Ramadhani Ali – Maelezo                         


Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari zaidi ya kinga katika kukabiliana na maradhi ya Corona ikiwemo kupunguza mikusanyiko na safari zisizokuwa za lazima.



Waziri Afya Hamad Rashid Mohamed alieleza hayo alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Serikali kukabiliana na maradhi hayo.



Alisema ni vyema wananchi ambao hawana ulazima wakutoka, kubaki majumbani mwao na kujenga tabia ya...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19)


Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakula vyakula ambavyo vitalinda kinga zao za mwili.

Rai hiyo imetolewa hivi karibuni  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu  wakati akizungumza na baadhi ya madereva wa kampuni mbalimbali za malori zinazosafirisha  mizigo nje ya nchi waliofika katika maabara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani