Waliofungua maduka wawasihi wenzao K’koo
Wafanyabiashara wachache waliofungua maduka eneo la Kariakoo jijini hapa, wamewataka wenzao wanaoendelea na mgomo kukubali amri ya Serikali ya kutumia mashine za risiti za kielektroniki, EFD, kwa kuwa zina manufaa kwa nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZLXQ7JsgPZI/XoLWv5HKqdI/AAAAAAALlpQ/RA4u_s10GG0PErca0ZP9YT9QlAFz4H7MgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200330-WA0133.jpg)
WAFANYABISHARA WANAOMILIKI MADUKA STENDI KUBWA YA MOSHI WAAMUA KUVUNJA KUFULI BAADA YA MANISPAA YA KUYAFUNGA MADUKA HAYO
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZLXQ7JsgPZI/XoLWv5HKqdI/AAAAAAALlpQ/RA4u_s10GG0PErca0ZP9YT9QlAFz4H7MgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200330-WA0133.jpg)
Na Woinde Shizza,KILIMANJARO
WAFANYABIASHARA 10 wanaomiliki maduka katika eneo la stendi kubwa Moshi mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuvunja kufuli mara baada ya kufungiwa maduka yao na mgambo wa Manispaa kwa madai kwamba sio wapangaji halali
Wakizungumzia tukio hilo kwa niaba ya wafanyabiashara hao Iren Charles ameleza kwamba wananyanyasika na Mgambo wa Manispaa ya Moshi kwa kuwavamia na kufunga maduka yao hivyo kukazimika kuvunja kufuli hizo.
Ameeleza kuwa walifungua kesi Mahakamani...
11 years ago
MichuziSIMBA WAFANYA MKUTANO, YAWAFUKUZA WANACHAMA 72 WALIOFUNGUA KESI MAHAKAMANI
11 years ago
Habarileo22 Apr
Wanavyuo wawasihi Ukawa kurejea bungeni
WANAFUNZI kutoka vyuo 10 vya elimu ya juu nchini, wamewasihi wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na majadiliano.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-7H4T*-XYZGqykoKWaG1jMSMF8Zc1A-bZPp8PlVdoUiYVw39jXnTj6*3t4qznatESMHgqAoVXnCpqnxtP5O*u0/mufti.jpg?width=600)
MAHAKAMA YA KADHI, BAKWATA WAWASIHI WAISLAMU
Mufti Shaaba Simba. Na Elvan Stambuli BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) linaloongozwa na Mufti Shaaba Simba (pichani) leo wamewasihi Waislamu kuwa watulivu wakati mchakato wa Mahakama ya Kadhi ukiwa bungeni kwa mjadala. Katika taarifa yao iliyosainiwa na Sheikh Abdallah Yusufu Mnyasi na Sheikh Abubakar Zuberi ambayo ilisambazwa kupitia Idara ya Habari (Maelezo) viongozi hao wote ambao wapo katika Baraza la Ulamaa la...
10 years ago
Bongo524 Apr
Chege, Young Killer, Bob Junior wawasihi wananchi kujiandikisha na kupiga kura
Young Killer, Chege na Bob Junior wamewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili wapate haki yao ya msingi ya kupiga kura na kuwachagua viongozi wanaowataka. Wakizungumza na Bongo5 leo kwa nyakati tofauti wasanii hao wasema kila mtanzania anapaswa kujiandikia ili asikose haki yake ya kuchagua viongozi. Young Killer Tujitokeze tukajiandikeshe […]
11 years ago
Mwananchi10 May
Amatre aikaba koo Simba
>Aliyewahi kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Richard Amatre amewasilisha rasmi barua ya malalamiko kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akiidai klabu hiyo Sh17.2 Milioni.
10 years ago
Mwananchi31 Jan
RC ‘aikaba koo’ Halmashauri Moshi
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama limeonekana ‘kuwasha moto’ kwa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi baada ya kutaka wanyang’anywe asilimia 80 ya maeneo inayoyashikilia kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Serikali, Bunge wakabana koo
Kumekuwa na mvutano mkubwa katika vikao vya mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambao pamoja na mambo mengine unaelezwa kuchangiwa na hatua ya Serikali kukataa kuweka wazi vyanzo vya mapato kwa wajumbe wa kamati hiyo.
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Maaskofu wazidi kuikaba koo Serikali
>Viongozi wa dini wamezidi kuikaba koo Serikali kuhusu kashfa ya Escrow na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania