WALIOLIPUA ARUSHA KUNASWA!
![](http://api.ning.com:80/files/wfufAsrgkK*nB84mqoKrIThAG3PFUmXve7LeKiHFCTUGA3YHhPQeModlXvUiYKw0*0z*41lB6SFozYFyxv2dZcW4LR7B*9kn/mabomu.jpg?width=650)
Stori: Joseph Ngilisho, Arusha WATU waliohusika na kutega bomu linalohisiwa kuwa ni la kienyeji katika baa ya Arusha Night Park huenda wakanaswa kirahisi baada ya polisi kuchukua mitambo ya usalama (CCTV) iliyofungwa kwa ajili ya kufanya uchunguzi. Baadhi ya majeruhi katika mlipuko wa bomu uliotokea Arusha wakiwa hospitali. Katika tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, jumla ya watu 17 walijeruhiwa, baadhi yao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Jun
Waliolipua bomu Zanzibar kunaswa
SERIKALI imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu, lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.
11 years ago
Habarileo18 Jun
Waliolipua bomu Z’bar kunaswa
SERIKALI imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu, lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.
11 years ago
Habarileo16 Jun
JK aagiza waliolipua bomu wasakwe
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki watu wote waliohusika katika ulipuaji bomu lililosababisha kifo na kujeruhi watu saba mjini Unguja, Zanzibar.
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Waliolipua bomu kanisani sheria ichukue mkondo wake
MEI 5 mwaka huu kulitokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Imani, Dayosisi ya Mashariki Ziwa Victoria, mkoani Mwanza. Hakika tukio hilo ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK4ORLCU0*V34zT3PqmnbKQsRgxBMoUqScDQ9YnEiTmOwOwfRK0PjkfPy2TbrYdjjnAAy1wOl3Zz*r3unZ95V7Ou/JOHARI.jpg)
JOHARI ADAIWA KUNASWA KWA MGANGA!
11 years ago
Habarileo20 Feb
Afa kwa kunaswa na umeme kazini
MFANYAKAZI wa kiwanda cha MCL kilichopo Temeke, Joseph Fedolini (40), amekufa papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akiwa kazini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema kifo hicho kilitokea jana usiku katika kiwanda hicho kilichopo maeneo ya Chang'ombe Viwandani.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Watu 10 wajitosa majini wakihofia kunaswa na polisi
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mwingine adaiwa kunaswa amemeza dawa za kulevya
11 years ago
Habarileo07 Jan
Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo
WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.