Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliolipua bomu Z’bar kunaswa

SERIKALI imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu, lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waliolipua bomu Zanzibar kunaswa

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame SilimaSERIKALI imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu, lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.

 

11 years ago

GPL

WALIOLIPUA ARUSHA KUNASWA!

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
WATU waliohusika na kutega bomu linalohisiwa kuwa ni la kienyeji katika baa ya Arusha Night Park huenda wakanaswa kirahisi baada ya polisi kuchukua mitambo ya usalama (CCTV) iliyofungwa kwa ajili ya kufanya uchunguzi. Baadhi ya majeruhi katika mlipuko wa bomu uliotokea Arusha wakiwa hospitali. Katika tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, jumla ya watu 17 walijeruhiwa, baadhi yao...

 

11 years ago

Habarileo

JK aagiza waliolipua bomu wasakwe

RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki watu wote waliohusika katika ulipuaji bomu lililosababisha kifo na kujeruhi watu saba mjini Unguja, Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliolipua bomu kanisani sheria ichukue mkondo wake

MEI 5 mwaka huu kulitokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Imani, Dayosisi ya Mashariki Ziwa Victoria, mkoani Mwanza. Hakika tukio hilo ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini walaani mauaji ya bomu Z’bar

Kamati ya Amani na Uhusiano wa viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini Mkoa wa Tanga imelaani kitendo cha ulipuaji wa bomu mjini Unguja uliosababisha kifo cha mtu mmoja.

 

11 years ago

GPL

BOMU LALIPUKA BAR, LAJERUHI ZAIDI YA 10 ARUSHA

BOMU limelipuka katika baa ya Night Park iliyopo jijini Arusha na kujeruhi watu zaidi ya 10 waliokuwa eneo hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko huo.

 

10 years ago

GPL

JOHARI ADAIWA KUNASWA KWA MGANGA!

Stori: Hamida hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula (pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga wa kienyeji (jina linahifadhiwa) katika Kijiji cha Kibeta, mjini Bukoba mkoani Kagera. Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula. Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa Johari akiwa katika bodaboda, aliingia kwa mganga huyo wa kike anayefahamika sana...

 

11 years ago

Habarileo

Afa kwa kunaswa na umeme kazini

MFANYAKAZI wa kiwanda cha MCL kilichopo Temeke, Joseph Fedolini (40), amekufa papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akiwa kazini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema kifo hicho kilitokea jana usiku katika kiwanda hicho kilichopo maeneo ya Chang'ombe Viwandani.

 

10 years ago

Michuzi

EFM WAANDAA TAMASHA LA PILI LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios. Mtangazaji, Dina Marios akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani