Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALIOPEWA TUZO JANA KATIKA SHEREHE YA TASWA)

A; WACHEZAJI BORA1; Samson Ramadhan (riadha).2; Martin Sulle (riadha)3; Mary Naali (riadha)4; Kikosi cha Taifa Stars kilichocheza mechi za kufuzu CHAN 2009 (soka)5; Mwanaid Hassan (netiboli)6; Hasheem Thabeet (kikapu)7; Timu ya Taifa ya gofu wanawake iliyoshika nafasi ya pili mashindano ya Afrika yaliyofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2010.:8; Twiga Stars:9; Francis Cheka10; Mbwana Samatta Cio…B;TUZO ZA VIONGOZI1;  Jenerali mstaafu, George Waitara2.  Kanali mstaafu, Idd Kipingu3;  Dioniz Malinzi4.  Leodeger...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI DAR LIVE KATIKA SHEREHE YA WAUZA MAGAZETI JANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, akisalimiana na baadhi ya wauza magazeti  baada ya kuwasili Dar Live Pichani kutoka kulia ni Katibu wa Mawakala na Wauza Magazeti, Msokolo,  wa pili ni mwenyekiti wake, Mzee Deo, katikati ni Eric Shigongo,  akiwa na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na Afisa Utawala wa Global Publishers, Soud Kivea… ...

 

9 years ago

Michuzi

YAMOTO BENDI NA KALUNDE KUTUMBUIZA KATIKA TUZO ZA TASWA JUMA TATU HII

BENDI ya Yamoto na Kalunde zinatarajiwa kutumbuiza wakati wa sherehe za Tuzo za Wanamichezo Bora na Tuzo ya Heshima ya Rais Jakaya Kikwete kesho Jumatatu Oktoba 12, 2015.
Maandalizi kuhusiana na tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika kwa kiasi kikubwa na baadhi ya wanamichezo wanaotoka nje ya Dar es Salaam ambao ni miongoni mwa watakaopewa tuzo wanatarajiwa kuwasili leo jioni tayari kwa shughuli hiyo.
Tunaamini uwepo wa Yamoto na...

 

9 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA),  imetoa Sh. 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. 
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...

 

5 years ago

CCM Blog

UWT KATA YA MAKONGO WAFANYA SHEREHE KUWAPONGEZA KINA MAMA 13 WALIOZOA VITI VYOTE KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA KATA HIYO MWAKA JANA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Makongo, katika jimbo la Kawe, Dar es Salaam, Janeth Mahawanga akizungumza wakati wa hafla ya kuwapongeza kina mama wa CCM walionyakuwa viti vyote katika Kata hiyo wakati nwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka jana. Kulia ni Mgeni rasmi, Katibu wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Grace Haule na kulia ni Katibu wa UWT Wilaya ya Temeke Huba Issa. PICHA ZAIDI>> BOFYA HAPA


MAKONGO, Dar es Salaam
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya...

 

11 years ago

Michuzi

LULU, MILARD AYO, KING MAJUTO WAIBUKA VINARA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO ZA WATU KATIKA HOTELI YA SERENA

 Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hiko  Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti  Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo  King Majuto akifurahi mara baada ya kuppokea Tuzo yake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa Kiume.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...

 

11 years ago

Dewji Blog

Obedi Laiser wa kampuni ya Tigo Tanzania ashinda tuzo ya kimataifa katika sherehe ya wafanyakazi Mjini Miami

 

1B0A2391

  Meneja wa Fedha na Usalama wa Tigo Pesa Bw. Obedi Laiser na viongozi wa Millicom nchini Marekani.

1B0A2436

Tigo leo yamkaribisha  nyumbani Tanzania, Bwana Obedi Laiser, baada ya kushinda tuzo ya mfanyakazi wa kimataifa katika tukio la kifahari wiki iliyopita mjini Miami,USA iliyoandialiwa na Milicom,Kampuni ya mawasiliano na vyombo vya Habari kutiko Uswizi ,inayo imiliki Tigo/Kampuni ambayo inamiliki Tigo.

Bwana Laiser aliteuliwa na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Bwana Diego Gutierrez kwa kazi yake...

 

9 years ago

Michuzi

Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika  Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani