Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliopigania ukombozi China wasaidia Kiluvya ‘B’

Mlezi wa Shule ya Msingi Kiluvya ‘B’, Kanali Thomas Ndonde (wa pili kulia), akimkabidhi hati ya utambuzi wa ushirikiano wa maendeleo baina ya shule hiyo na wataalamu wa Jeshi la Ukombozi wa China, Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Ziada Libaba wakati wa hafla ya kukabidhiwa misaada yenye thamani ya ShMilioni 3, iliyofanyika shuleni hapo jana. Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kiluvya ‘B’, Ziada Libaba akikabidhiwa moja ya kompyuta mpakato kutoka kwa Kiongozi wa msafara wa wapiganaji wa Jeshi la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kiluvya yawatuliza Mlale

Mabingwa wa Mkoa wa Pwani, Timu ya Kiluvya United ya Kiluvya nje kidogo ya jiji, mwishoni mwa wiki imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya JKT Mlale.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiluvya yaitoa nishai Ashanti

Ashanti United ina kazi ya kurekebisha kikosi chake kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa Ligi Daraja la Kwanza baada ya kufungwa mabao 2-1 na Kiluvya United Jumamosi kwenye Uwanja wa Tamco Kibaha, Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA KILUVYA GOGONI NA KIBOSHO

Marehemu Mzee Aloyce Kirango Familia ya Mzee Aloyce Kirango wa Gogoni, Kiluvya, Dar es salaam,  inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa kilichotokea tarehe 21 april 2014 asubuhi. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu  Gogoni  Kiluvya. Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote wa familia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiteshe Sound kupagawisha Kiluvya leo

BENDI mpya ya muziki wa dansi inayokuja kwa kasi ya Kiteshe Sound, leo Ijumaa inatarajia kutoa burudani ya aina yake kwa wakazi wa mji mdogo wa Kiluvya kwa Komba na...

 

10 years ago

Daily News

NSSF sells surveyed plots at Kiluvya Hills


Daily News
NSSF sells surveyed plots at Kiluvya Hills
Daily News
THE National Social Security Fund (NSSF) is selling 444 surveyed plots at Kiluvya Hills in Kisarawe District, Coast Region as part of programme to develop new settlement areas in the outskirts of Dar es Salaam. The NSSF Planning and Investment Manager, ...

 

10 years ago

Michuzi

Kiluvya United yaitungua Sinza Star bao 3-0

 Kikosi cha Kiluvya United kikifanya mazoezi mepesi kabla ya mechi yao ya Ligi ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup 2014 katika Uwanja wa Makurumla dhidi ya Sinza Star. Kiluvya United ilishinda 3-0. Wachezaji wa Sinza Star wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa mchezo wao na Kiluvya United. Wachezaji wa Kiluvya United wakisalimiana na wachezaji wa Sinza Stara kabla ya mchezo wao wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule...

 

10 years ago

Michuzi

Lt.Col PASCAL STEPHEN HAULE (Rtd) WA KILUVYA GOGONI AFARIKI DUNIA

Familia ya Haule wa Kiluvya Gogoni Inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Lt. Col. Pascal Stephen Haule(mstaafu)  Kilichotokea tarehe 10/4/2015 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo.Mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu Kiluvya Gogoni siku ya jumanne 14/4/2015 Habari ziwafikie Ndugu  jamaa majirani na marafiki Popote pale walipo.
Bwana Ametoa Bwana Ametwa Jina la Bwana Lihimidiwe

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom Mbeya wasaidia yatima 

WATANZANIA wametakiwa kujitolea kuwalea watoto yatima ili kupunguza wimbi la watoto wa mitaani na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Wito huo ulitolewa juzi na Mwenyekiti wa Mtandao wa Yatima mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani