Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanahabari waanzisha Saccos

KLABU ya waandishi wa habari mkoani hapa imekamilisha hatua muhimu katika kuanzisha chama cha kuweka na kukopa kwa wanahabari na wadau wao kitakachojulikana kama Mtwara Media Saccos. Mwenyekiti wa klabu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Waanzisha kampeni ya amani

TAASISI ya Suleiman Kova Security and Disaster Management (SUKOS) imeanzisha kampeni maalumu ya kudumisha amani na upendo. Kampeni hiyo inakuja baada ya wadau wa taasisi hiyo kusema kuwa wameona nchi imeanza kuonesha viashiria vya kutoweka kwa amani kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ajira pamoja na ugumu wa maisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA waanzisha Vicoba

BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) tawi la Tabata Msimbazi limeanzisha vicoba kwa ajili ya kusaidiana ambapo hadi sasa wamekusanya sh milioni 1.9 katika harambee iliyofanyika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee Magu waanzisha mradi

WAZEE wa Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wameanzisha miradi mbalimbali ya kiuchumi kwa ufadhili wa Shirika la Maperece linalojishughulisha na kutetea haki za wazee. Akizungumza na waandishi wa habari katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taliban waanzisha mapigano Afghanistan

Serikali ya Afghanistan imesema mamia ya wapiganaji wa Taliban wamevamia na kuanzisha mapigano nchini humo.

 

10 years ago

Mtanzania

Wasomi waanzisha taasisi ya kodi

NA MWANDISHI WETU
VIJANA wanane wenye elimu ya vyuo vikuu wameanzisha taasisi yao itakayokuwa ikijihusisha na masuala ya elimu ya ulipaji kodi.
Taasisi hiyo iitwayo CTA ilitangazwa jana jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari na kuhudhuriwa na baadhi ya viongozi waaanzilishi.
Akizungumza katika mkutano huo, Msemaji wa taasisi hiyo, Victor Lukomanya, alisema wamelazimika kuianzisha baada ya kuona sehemu kubwa ya Watanzania wenye sifa za kulipa kodi hawafanyi hivyo.
Kutokana na hali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakala huduma za pesa waanzisha chama

WAFANYAKAZI wa huduma za pesa  wameanzisha Chama cha Mawakala wa Huduma za Pesa Kupitia Simu za Mkononi (CMPT) ili kutatua matatizo yanayowakabili kazini. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Waanzisha kapu kunusuru ujenzi maabara

Wanawake wa Kata ya Kiruruma, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera wameamua kuanzisha kapu la maabara kwa kila mmoja kuchangia Sh2,000 lengo likiwa ni kukusanya Sh20 milioni.

 

9 years ago

Vijimambo

PSPF, TAFFA WAANZISHA USHIRIKIANO MPYA

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akihutubia wanachama wa chama cha mawakala wa forodha Tanzania (TAFFA), mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAFA kwenye ukumbi wa Karimjee .Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin, akiwaeleza wanachama wa Chama cha mawakala wa forodha Tanzania TAFA, juu ya hufuma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, wakati wa mkutano mkuu wa TAFFA jijini Dar es Salaam. PSPF...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana waanzisha klabu kusaidia kukabili uhalifu

VIJANA zaidi ya 100 kutoka shule za sekondari za mjini Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wamepaza sauti zao kupinga vitendo vya kiuhalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani