Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamichezo wamwangukia Magufuli

Wadau wa michezo wamemtaka Rais Dk John Magufuli kuiangalia sekta ya michezo na burudani kama alivyosema wakati wa kampeni ili kuleta maendeleo ya kweli kwa wanamichezo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

TASWA yampongeza Magufuli, wanamichezo

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), kimempongeza Dk John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Tanzania. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Taswa, Juma Pinto ilieleza kuwa chama hicho kina imani kubwa na Dk Magufuli na kumuahidi ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza majukumu yake.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli amkabidhi Nape wanamichezo, wasanii

RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo. Wakati wa kampeni zake za urais, Rais Magufuli mara kadhaa alikaririwa akisema atakuwa mstari wa mbele kuwasaidia wanamichezo na wasanii katika masuala mbalimbali wakati wa utawala wake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wastaafu Moro wamwangukia JK

CHAMA cha Wafanyakazi wastaafu Mkoa wa Morogoro (Chawawamo), kimemuomba Rais Jakaya Kikwete kutowatelekeza kwa kuhitimisha uongozi wake kwa kuboresha sheria ya wastaafu ili wanufaike nayo kwa ongezeko la pensheni za...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa

>Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.

 

11 years ago

Dewji Blog

Bodaboda wamwangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar

1

Baadhi ya viongozi na  wanachama wa bodaboda wakiwa katika mazungumzo na wanahabari (hawapo pichani).

Na  Mwandishi wetu.

Kamati maalum ya madereva Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wamemtaka mkuu wa mkoa Saidi Meck Sadiki  kusitisha agizo la vyombo hivyo kutoingia katikati ya jiji (Central Business District CBD).

Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, katibu wa kamati hiyo Daudi Laurian, alisema kuwa mkuu wa mkoa alitoa agizo hilo bila kuwashirikisha kwa kuwapa taarifa ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wamwangukia mratibu Kombe la Muungano Mufindi

WADAU wa michezo wamemwomba Mratibu wa Kombe la Muungano Mufindi, Daud Yassin, kufikiria zaidi uamuzi wake wa kustaafu kuandaa mashindano hayo na kuongeza muda zaidi wa kuratibu kwa lengo ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE MUFINDI WAMWANGUKIA ,MWENYEKITI WA UWT MUFINDI MARCELINA MKINI UBUNGE JIMBO LA MUFINDI KUSINI

Mwenyekiti wa UWT Mufindi na mjumbe wa NEC Taifa Bi Marcelina Mkini akiwapongeza  wanawake kwa kuonyesha kumkubaliMwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini wa kwanza kushoto akiwa na mkuu wa wilaya ya Mufindi Mboni Mhita na mwenyekiti wa UWT mkoa wa Iringa Bi Zainabu Mwamwindi wakati wa kongamano la wanawake wilayani Mufindi.
 WAKATI joto  la uchaguzi  mkuu likiendelea  kushika kasi ndani ya chama  cha mapinduzi (CCM) kwa  wanachama  wake kujitokeza kutia nia ya kuwania urais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake Mufindi wamwangukia , Mwenyekiti wa UWT Mufindi Marcelina Mkini ubunge jimbo la Mufindi kusini

Mwenyekiti wa UWT Mufindi na mjumbe wa NEC Taifa Bi Marcelina Mkini akiwapongeza  wanawake kwa kuonyesha kumkubali. Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini wa kwanza kushoto akiwa na mkuu wa wilaya ya Mufindi Mboni Mhita na mwenyekiti wa UWT mkoa wa Iringa Bi Zainabu Mwamwindi wakati wa kongamano la wanawake wilayani Mufindi.

Na MatukiodaimaBLOG

WAKATI joto  la uchaguzi  mkuu likiendelea  kushika kasi ndani ya chama  cha mapinduzi (CCM) kwa  wanachama  wake kujitokeza kutia...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanamichezo wajitosa siasa

Wasanii na wanamichezo mbalimbali nchini wamejitokeza kuomba fursa ya kugombea ubunge, udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani