Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WA TUNISIA WANACHAGUA WABUNGE LEO

Wasimamizi wa Uchaguzi wakiweka mambo sawa leo asubuhi. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa tangu asubuhi ya leo nchini Tunisia ambapo wananchi zaidi ya milioni 5.3 waliotimiza masharti ya kupiga kura wanatarajiwa kuchagua wabunge 217 wapya. Kuna vituo 4,500 vya kupigia kura ambapo vyama vya kisiasa zaidi ya 100 vinashiriki uchaguzi huo. Uchaguzi wa leo ni wa kwanza kufanyika kwa mujibu wa katiba mpya ya Tunisia na wa pili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yawachagua wabunge wapya

Raia nchini Tunisia wanapiga kura hii leo kwenye uchaguzi wa ubunge ikiwa ni karibu miaka minne tangu yafanyike mapinduzi,

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge wetu na maaoni ya wananchi

UKISIKILIZA jinsi mjadala unavyokwenda kwenye Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma, utagundua kwamba wabunge wetu hawana mawasiliano na wananchi waliowatuma bungeni. Wabunge wanawasilisha maoni yao binafsi badala ya kuwasilisha maoni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia:Makavazi yafunguliwa leo

Makavazi ya Bardo nchini Tunisia, yanafunguliwa tena leo Jumanne, juma moja pekee baada ya magaidi kushambulia watalii wa kigeni na kuwauwa 20 kati yao

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamshukia Makinda, wabunge CCM

Baadhi ya wananchi wamesema Spika Anne Makinda na baadhi ya wabunge wa CCM ndiyo chanzo cha Bunge hilo kusitishwa kwa dharura, kwani walionyesha wazi kuwabeba watuhumiwa waliotajwa katika ripoti zilizowasilishwa bungeni hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Wadau wataka wabunge EAC kuchaguliwa na wananchi

Profesa Kitilla Mkumbo WANANCHI wametaka wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuchaguliwa na wananchi kutoka nchi wanachama badala ya hivi sasa wabunge hao kuchaguliwa na mabunge ya nchi wanazotoka.

 

10 years ago

StarTV

CCM Dar yawataka wabunge wake kuelimisha wananchi

Na Grace Semfuko,

Dar es Salaam.

 

Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kimewataka wabunge wa Mkoa huo kupitia CCM kutoa elimu kwa wakazi wake kuhusiana na masuala ya kijamii yaliyomo kwenye Katiba inayopendekezwa ili wakazi hao waweze kuipigia kura bila kuwa na kikwazo chochote.

 

Katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar Es Salaam wajumbe wake wamesema hatua hiyo itawawezesha wakazi wengi kuipigia kura Katiba hiyo ili hatimaye iweze kupita na kutumika kama Katiba mama ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wabunge kutoka Nchi Wanacham wa Jumuiya ya Madola (CPA) walalamika kufanywa “ATM” na wananchi

   Mjumbe kutoka Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na wabunge wengine kutoka nchi washiriki wakifuatilia mada kwa makini    Katibu Mkuu wa CPA Dkt. William shijja akifafanua jambo wakati Mnadhimu Mkuu wa Serikali katika Bunge la Ghana ambaye pia ni Waziri anayeshughulikiwa maswala ya Bunge Dkt. Benjamini Bewa- Nyang Kunbour akiwasilisha mada yake kuhusu Mahusiano  ya Mbunge na chama chake wakati wa siku ya pili ya semina ya 25 ya Chama cha Mabunge wanachama wa jumuiya ya Madola CPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Mauritius wachagua wabunge leo

Mauritius leo inafanya uchaguzi wa wabunge, huku vyama vilivyoungana vikipambana kupata asilimia kubwa ya viti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani