Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wamtega DC Arusha

WANANCHI  wa Kata za Mlangarini na Moshono, wamemuweka kiti moto Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongela wakitaka awape jibu ni lini hasa watalipwa fidia ya maeneo yao waliyoyatoa kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamtega Logarusic

KLABU ya Simba inasubiri taarifa rasmi ya kocha mpya, Zdravok Logarusic kuhusu mkakati wake wa kudhibiti nidhamu katika timu kwa kuwakata mshahara nyota wanaochelewa kwenye mazoezi. Hivi karibuni Logarusic alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha

Wananchi wanaotembelea maonesho ya Kilimo na mifugo Nananane Njiro jijini Arusha wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha kupata maelezo ya namna kinavyotimiza wajibu wake kuelimisha vijana katika taaluma ya ufundi nchini. Wanafunzi na wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Mitambo,Frank Moshi kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)juu ya matumizi ya nishati ya Nguvu jua . ATC pia hutoa mafunzo ya kuongeza thamani madini  hapa nchini badala ya kusafirishwa yakiwa ghafi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wamtega kocha mpya

KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kumpatia mkataba wa miezi sita Kocha wake mpya, Hans Van Der Pluijm, ambaye tayari ameungana na timu hiyo iliyopo nchini Uturuki kujipanga kwa raundi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndugu zake Msuya wamtega DPP

WIKI chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kumfutia mashitaka ya mauaji, mmoja kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Arusha washauriwa kukopa benki

Utafiti umeonyesha kuwa idadi kubwa ya wananchi Wilaya Longido hawajatumia ipasavyo huduma za mikopo ili kujiendeleza kiuchumi hali inayosababisha familia nyingi kuwa nyuma kiuchumi.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge aongoza wananchi kujigawia ardhi Arusha

Joshua Nassari MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari juzi aliongoza wapiga kura wake kugawa shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika mkoani Arusha (ACU), akisema amechoka kuona wananchi wake wakisotea ardhi ilhali kuna maeneo hayaendelezwi.

 

9 years ago

Michuzi

EKARI 7000 ZA MASHAMBA KUGAIWA KWA WANANCHI WA ARUSHA.

SERIKALI imetwaa jumla ya Ekari 7000 baada ya ubatilishwaji wa Mashamba ya Tanzania plantatition limited yaliyokua yakimilikiwa na mwekezaji  kutoka nje ,mashamba hayo yanatajiwa kugawanywa kwa wananchi 2000 wenye uhitaji wa ardhi ya makazi na mashamba .
Aidha baada ya ubatilishwaji wa mashamba hayo Arusha imepata ekari 6176.5 na Halmashauri ya Meru ekari 925  hivyo kufikia ekari 7101 ambazo zitagawanywa kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi,Wiliam Lukuvi wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi jijini Arusha washangilia kuuwawa kwa mtuhumiwa wa ujambazi

Picha ya juu na chini  wananchi wa jiji la Arusha  waliojitokeza kuuangalia mwili wa  jambazi huyo hatari aliyeuawa na polisi usiku wa kuamkia leo. (Habari picha kwa hisani ya Woindeshizza blog).

Jambazi mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Abudallah alimaarufu kwa jina la Ramadhani Ndonga (37) mkazi wa Moivo  ameuwawa baada ya kupigwa risasi katika majibizano na askari wa jeshi la polisi.

Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Arusha Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio hilo...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI JIJINI ARUSHA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA


Wakazi wa Kata ya Osunyai jijini Arusha wakinawa mikono kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona kabla ya kuingia kwenye vyumba kujiaandikisha na kubadilisha taarifa zao katika mpango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kuboresha daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa 12 ya mwanzo kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2020.

Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi Arusha Mjini,Dk Maulid Madeni akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa uandikishaji wapigakura jijini Arusha.

Wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani