Wananchi wanapaswa kuelewa kazi za APRM
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM-Tanzania), ulikabidhi ripoti yake Januari mwaka jana na kukaguliwa na Umoja wa Afrika (AU). Kazi hiyo ya kupitia ripoti ilifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
APRM na kazi zake
MACHI 9 ya kila mwaka, Tanzania huungana na nchi nyingine za Afrika wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) kuadhimisha siku hiyo. Maadhimisho hayo yalipitishwa Januari mwaka jana...
9 years ago
Michuzi27 Sep
JESHI LA ANGA LA CCM LAMALIZA KAZI TABORA,WANANCHI WAAHIDI KUCHAGUA "KAZI TU"
FieldMashall Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Sikonge hii leo Mkoani Tabora wakati wa Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha Mapinduzi,Mwigulu Nchemba amewasisitiza Wananchi wa Sikonge Kuachana na siasa za Makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi,"Wananchi wote,WanaCCM wote tuunganishe nguvu zetu kukipa Ushindi chama cha Mapinduzi,Tuunganishe nguvu kuhakikisha tunapata Mbunge wa CCM atakayeweza kutatua Matatizo ya Tumbaku hapa Sikonge"Mbali na hilo ,Mwigulu Nchemba ameendelea kusisitiza...
10 years ago
GPLJINSI YA KUJIFUNZA NA KUELEWA MASOMO MAGUMU
NDUGU mwanafunzi; bila shaka wewe ni moja kati ya wanaokiri kuwa masomo fulani ni magumu na umekata tamaa kuyasoma kiasi cha kusubiri kufeli katika mitihani yako. Kama siyo wewe basi unaweza kuwa umesikia baadhi ya wanafunzi wenzako wakilalamika kuwa: “Yaani masomo haya hatuyawezi.â€Â Kama mtaalam, natambua katika kutafuta elimu kuna masomo magumu na yamekuwa kikwazo cha wengi kutimiza ndoto zao. Kwa kufahamu hilo,...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Ninaposhindwa kuelewa maana ya nyumba za bei nafuu
>Kama kuna msamiati mgumu kwangu, ni huu ninaousikia na kuusoma mara kwa mara kuwa kuna nyumba za bei nafuu hapa nchini.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Nilipata wakati mgumu familia kuelewa ninachofanya
Ukimuona huwezi kuamini anachosema lakini ukweli ni kwamba anna miaka 19 katika muziki wa dansi, anamudu kusimama jukwaani kucheza na kuimba kwa zaidi ya saa nane bila kuchoka huku akifanya hivyo siku tano kwa wiki kuanzia Jumatano hadi Jumapili.
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Bunge, Serikali wanapaswa kuheshimiana_
Alhamisi iliyopita tuliwasikia wabunge wakichachamaa bungeni kwamba Serikali imekuwa inafanya uamuzi bila kuzingatia ushauri au maagizo ya Bunge.
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Warioba na timu yake wanapaswa kupongezwa
“Rasimu ya Katiba ya sasa ndiyo suluhisho pekee la kuondokana na taifa lenye wazee tegemezi, kwani imeweka  mfumo mzuri katika Sekta ya Elimu na Afya kwa vijana na watoto.
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Wazazi wanapaswa kudhibiti unene wa watoto
Wazazi wengi hawazingatii madhara ya kuwa na watoto walionenepa kupita kiasi.
11 years ago
Michuzi26 Jun
APRM yapata CEO mpya
Na Mwandishi Wetu, Malabo
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara la Afrika iliyoko mjini Midrand, Afrika Kusini.
Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi za APRM uliofanyika mjini hapa, ambapo aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Assane Mayaki kutoka Niger ndiye amehamishiwa APRM.
Mabadiliko hayo yamekuja wakati ambapo wakuu wa Nchi za APRM...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania