WANANCNHI TABORA WAINGIWA NA KIWEWE BAADA YA MTI ULIOANGUKA MIAKA 3 ILIYOPITA UMENYANYUKA WENYEWE
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dy3vmM5JGANo7ESXVZ0tI4q7eQROeKhptoWyrJpw81GVsHBzjUXAFR8bloxUKvML0RhUSVdNXuAOyZp-Ld9EunzhkT4I-5Gu/wp12048rE.jpg?width=650)
STEVE JOB AKUMBUKWA BAADA YA KIFO CHAKE MIAKA MINNE ILIYOPITA
MWASISI mwenza wa kampuni la zana za kompyuta la Apple, Steve Jobs, amekumbukwa leo na kampuni lake na walimwengu baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Mwasisi mwenza wa kampuni la zana za Kompyuta la Apple, Steve Jobs. Kiongozi wa kampuni hilo, Tim Cook, na viongozi wengine wa kampuni hilo waliadhimisha tukio hilo kwa kummwagia sifa mwenzao huyo aliyefariki na kuliachia sifa kubwa kampuni hilo maarufu duniani. Katika...
9 years ago
Bongo528 Oct
Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HFAEOS6J_bg/VYlvmdv0FYI/AAAAAAAHi5U/zZ6WdfnCMu8/s72-c/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
Chikawe: Niliamua kugombea urais miaka mitano iliyopita
![](http://1.bp.blogspot.com/-HFAEOS6J_bg/VYlvmdv0FYI/AAAAAAAHi5U/zZ6WdfnCMu8/s640/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
Waziri Chikawe, ambaye amekamilisha kazi ya kusaka wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania Bara na Zanzibar kama taratibu zinavyoelekeza, amesema uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo aliufanya baada ya...
9 years ago
Mwananchi26 Aug
CCM itakumbukwa kwa lipi miaka MITANO iliyopita?
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuutumia katika kuandaa ilani yake ya Uchaguzi Mkuu ya 2015-2020.
10 years ago
Vijimambo19 Dec
Mzee wa miaka 70 jela kwa kukata mti
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Zuberi Lubengela (70) kutumikia kifungo cha miezi sita jela, kwa kosa la kukata mti aina mgunga wenye thamani ya Sh. 100,000, mali ya kanisa la TAG lililopo kijiji cha Kiganza.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, David Ngunyale, baada ya upande wa mashtaka kuiridhisha mahakama kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo.
Hakimu Ngunyale alisema mahakama inatoa adhabu kali dhidi ya mshtakiwa ili iwe fundisho kwake na kwa wazee...
11 years ago
KwanzaJamii13 May
kilimo cha Ngoro kilianzishwa miaka 300 iliyopita Mbinga
Na Albano Midelo
NGORO pichani juu ni aina ya kilimo kinachohifadhi mazingira kwa njia ya asili ambacho kinaaminika kilianza kutumika na wakulima wa kabila la wamatengo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita.
Kilimo cha ngoro kilianzishwa na wazee maarufu wa kabila la wamatengo waliotokea nchini Malawi katika karne ya 17 ambapo tayari vizazi zaidi ya 10 vimepita hivi sasa tangu kilimo cha ngoro kilipoanzishwa wilayani Mbinga.
Moja ya madhumuni ya kuanzisha kilimo hiki ni...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/images2.jpg)
AFGHANISTAN YASEMA MULLAH OMAR ALIKUFA MIAKA MIWILI ILIYOPITA
Aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Taliban, Mullah Omar anayedaiwa kufariki dunia. SERIKALI ya Afghanistan leo ilikuwa inachunguza kuvuja kwa habari miongoni mwa maofisa wake kwamba kiongozi wa Taliban, Mullah Omar, amefariki. Uchunguzi huo umekuja baada ya maofisa wa serikali kudai kwamba mpiganaji huyo aliyekuwa na jicho moja alifariki miaka miwili iliyopita kutokana na ugonjwa. Hata hivyo, msemaji wa Taliban, Zabihullah Mujahidin,...
5 years ago
BBCSwahili19 May
Wazazi wampata mtoto wao aliyeibiwa miaka 32 iliyopita China
Familia moja China, aliyoibiwa mtoto wao wa kiume katika hoteli mwaka 1988 imempata baada ya miaka 32.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania